The case against Andrew Chenge -- THUSDAY | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The case against Andrew Chenge -- THUSDAY

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DOUBLE AGENT, Jul 12, 2011.

 1. D

  DOUBLE AGENT Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama PCCB (TAKUKURU) wanasema hawana ushahidi wa rushwa dhidi ya Andrew Chenge (ufisadi wa rada) na Edward Lowassa (Richmond). Sheria za nchi zinaipa TAKUKURU mamlaka ya kuwashitaki kina Chenge na Lowassa kwa kuwa na utajiri usioweza kuelezeka.

  Muda umefika sasa kwa Jakaya Kikwete afanye maamuzi magumu amuagize Edward Hoseah awafikishe mahakamani kina Chenge na Lowassa kujibu mashitaka ya ufisadi mara moja!


   
 2. M

  Mtanzania Huru Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe sheria ziko wazi kwamba kiongozi wa umma akiwa na utajiri wa mashaka (unexplained property) anatakiwa ashitakiwe mahakamani kwa rushwa. Chenge amekutwa za zaidi ya $1.5 million kwenye akaunti ya nje, TAKUKURU wanaona kigugumizi gani kumfikisha mahakamani?

  Ndiyo maana Lowassa anapata jeuri ya kuiambia serikali ya Kikwete kuwa inashindwa kufanya maamuzi magumu!
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,467
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  TAKUKURU wanaendelea kutuzuga kwamba uchunguzi umeshindwa kuthibitisha wakati walitakiwa tu kumsimamisha Chenge mahakamani aseme kazipataje fedha zile. Bahati mbaya pia hatuna Mbunge jasiri wa kuliweka bayana hili bungeni. Wanaogopa Chenge atamwaga mboga?
   
 4. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Suala la unexplained property kwangu ni gumu kuliko mnavyotaka kuliweka. Everything that you own, do you thing is explainable?
   
 5. W

  WildCard JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,467
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hata dola milioni moja kwa mtumishi wa UMMA?
   
 6. D

  DOUBLE AGENT Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali makini za nchi nyingi kutumia sheria kama hii kuzuia viongozi wa umma wasile rushwa wakiwa madarakani na kujilimbikizia mali. Yaani kiongozi wa umma akifikishwa mahakamani burden of proof ni kwake kuthibitisha mali alizokuwa nazo amezipata kwa njia halali gani? Kama ni kutokana na rushwa basi ni dhahiri kuwa atashindwa kuthibitisha hizo mali kazipata wapi na sheria itachukua mkondo wake.

  TAKUKURU wangetumia kipengele hiki cha sheria viongozi wote wa umma wenye mali za kifisadi kama Chenge na Lowassa wote wangetiwa hatiani.
   
 7. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2015
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 4,802
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
Loading...