The Canadian Connection

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Wenzake karibu wote wameenda Umrah (Hijja ndogo) kufanya ibada ukizingatia Umrah ya mwezi wa Ramadhani una thawabu zaidi na waumini wa dini yake wenye uwezo kama yeye huutumia mwezi huu kufanya ibada zaidi

Yeye anakwenda Canada (alirusha picha kwenye Twitter)

Je huko Canada kuna nini?

Ile team ya ku connect dots njooni mtuambie Canada kuna connections zipi?

Sitomtaja jina kwani anajulikana
 
Hivi jamaa (msafiri) hata Hijja kashawahi kufanya?

Na kama katumwa kwenda huko, kwani hakuna waajiriwa sirikalini ambao wangeenda huko? Na kwa nini wafuatwe huko kwa nini wao wasije huku afterall wao ndio watuhumiwa?

Wapo wana diplomasia ambao tumewasomesha hapa na wanauwezo na wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo sasa kwa nini atumwe huyu mstaafu?

Kwa nini hatulizani akafanya ibada wakati yeye ni mgonjwa?
 
Moja, huwezi kumpangia mtu wapi pa kwenda

Mbili, kwa kuwa wenzake wanaenda hijja ndio lazima na yeye kwenda? Huwezi kufanya jambo kwa mkumbo na pia kila jambo kwa nafasi yake, hata mungu mwenyewe hajalazimisha. Unajua ameshaenda mara ngapi? Hiyo Umra si mda wowote?

Tatu, suala la kwenda Canada yeye ndio wa kwanza kutujuza, tena akiwa Dubai unadhani kama ni siri ingekuwa hivyo? Tena kama unafikiri kwa ndani utagundua amefanya kusudi kutujulisha anaenda Canada. Unafikiri JK anaweza kwenda sehemu serikali yetu isijue anaenda wapi na kufanya nini!? Serikali inajua mpaka anafikia wapi, anakutana na nani? N.k

Nne, kama kuna doti ya kuunganisha uihusishe na Akeshia anaenda kuweka mambo ya kidiplomasia sawa na kwamba hatufukuzi wawekezaji ila tunataka chetu kipatikane. Unadhani hilo jambo ni dogo hivyo sio dogo hata kidogo.
 
Wenzake karibu wote wameenda Umrah (Hijja ndogo) kufanya ibada ukizingatia Umrah ya mwezi wa Ramadhani una thawabu zaidi na waumini wa dini yake wenye uwezo kama yeye huutumia mwezi huu kufanya ibada zaidi

Yeye anakwenda Canada (alirusha picha kwenye Twitter)

Je huko Canada kuna nini?

Ile team ya ku connect dots njooni mtuambie Canada kuna connections zipi?

Sitomtaja jina kwani anajulikana
Ukishakaa kwenye ngazi za juu za uongozi unaona uongo wa hizo habari za Umrah. Dini ni siasa tu.

Huyu kaamua kwenda kusikikiza maagizo kwa mabosi wake Canada jinsinya kumtuliza Magufuli.

Ama katumwa na Magufuli kwenda kuwasikiliza huko. Jambo ambalo litakuwa la ajabu kwa sababu alitakiwa awe mshtakiwa na hata asiruhusiwe kutoka nje ya nchi.
 
Moja, huwezi kumpangia mtu wapi pa kwenda

Mbili, kwa kuwa wenzake wanaenda hijja ndio lazima na yeye kwenda? Huwezi kufanya jambo kwa mkumbo na pia kila jambo kwa nafasi yake, hata mungu mwenyewe hajalazimisha. Unajua ameshaenda mara ngapi?

Tatu, suala la kwenda Canada yeye ndio wa kwanza kutujuza, tena akiwa Dubai unadhani kama ni siri ingekuwa hivyo? Unafikiri JK anaweza kwenda sehemu serikali yetu isijue anaenda wapi na kufanya nini!? Serikali inajua mpaka anafikia wapi, anakutana na nani? N.k

Nne, kama kuna doti ya kuunganisha uihusishe na Akeshia anaenda kuweka mambo ya kidiplomasia sawa na kwamba hatufukuzi wawekezaji ila tunataka chetu kipatike. Unadhani hilo jambo ni dogo hivyo sio dogo hata kidogo.
Alaaa

kumbe anayeongelewa hapa ni JK

Bas mimi nilidhani yule jamaa mwingine
 
Moja, huwezi kumpangia mtu wapi pa kwenda

Mbili, kwa kuwa wenzake wanaenda hijja ndio lazima na yeye kwenda? Huwezi kufanya jambo kwa mkumbo na pia kila jambo kwa nafasi yake, hata mungu mwenyewe hajalazimisha. Unajua ameshaenda mara ngapi?

Tatu, suala la kwenda Canada yeye ndio wa kwanza kutujuza, tena akiwa Dubai unadhani kama ni siri ingekuwa hivyo? Unafikiri JK anaweza kwenda sehemu serikali yetu isijue anaenda wapi na kufanya nini!? Serikali inajua mpaka anafikia wapi, anakutana na nani? N.k

Nne, kama kuna doti ya kuunganisha uihusishe na Akeshia anaenda kuweka mambo ya kidiplomasia sawa na kwamba hatufukuzi wawekezaji ila tunataka chetu kipatike. Unadhani hilo jambo ni dogo hivyo sio dogo hata kidogo.
Anaweka mambo ya kidiplomasia sawa kwani yeye ni mwaajiriwa, si ameshastaafu?Hii statement ina imply nini, kwamba hatuna watu wenye uwezo serikalini wa kufanya hiyo kazi mpaka akafanye mtu aliye staafu?I don't believe it.Let me say this, serikali kujua kwamba amekwenda Canadá kufanya nini haimzuii yeye kufanya sómething shadowy kama akitaka.Na kwa vile mtu mwenyewe anaelekea kuwa karibu sana na hawa watu, ndio maana tunakuwa na wasi wasi.Haonekani kuwa mmoja wetu.
 
Hata Karamagi, baada ya kusaini mkataba wa Buzwagi London na kisha kuzodolewa alikwenda Canada. Lazima kutakuwa na kitu huko.
 
Anaweka mambo ya kidiplomasia sawa kwani yeye ni mwaajiriwa, si ameshastaafu?Hii statement ina imply nini, kwamba hatuna watu wenye uwezo serikalini wa kufanya hiyo kazi mpaka akafanye mtu aliye staafu?I don't believe it.Let me say this, serikali kujua kwamba amekwenda Canadá kufanya nini haimzuii yeye kufanya sómething shadowy kama akitaka.Na kwa vile mtu mwenyewe anaelekea kuwa karibu sana na hawa watu, ndio maana tunakuwa na wasi wasi.Haonekani kuwa mmoja wetu.
Marais wanastaafu lakini wanafanya kazi nyingi tu za taifa na wanapewa majukumu na Rais aliyepo madarakani kadri anavyoona inafaa. Utakumbuka Mkapa alipewa kazi ya upatanishi Burundi. Ni duniani kote iko hivyo kwa hiyo lisikushagaze hilo. Wako na watu wengine ambao wanastaafu lakini huwa hawastaafu. Neno kustaafu kwa wengine halimaanishi kama lilivyo.

Wale walinzi wake wote wanaripoti kwa mabosi wao, ambaye anampa briefing Rais kila siku ( japo na hao wastaafu wanapewa pia kila siku ). Huwezi kufanya kitu bila wa kujulikana.

Something Shadowy asijulikane!? Kwa ufupi ukishatumikia taifa sehemu nyeti na ukawa unajua baadhi ya siri za nchi huwezi kustaafu usijulikane unafanya nini
 
Wenzake karibu wote wameenda Umrah (Hijja ndogo) kufanya ibada ukizingatia Umrah ya mwezi wa Ramadhani una thawabu zaidi na waumini wa dini yake wenye uwezo kama yeye huutumia mwezi huu kufanya ibada zaidi

Yeye anakwenda Canada (alirusha picha kwenye Twitter)

Je huko Canada kuna nini?

Ile team ya ku connect dots njooni mtuambie Canada kuna connections zipi?

Sitomtaja jina kwani anajulikana
Bavicha mnapenda sana uzushi. Kwa hiyo mtu asisafiri? Unadhani hiyo safari ni siri? Na yeye si ndiyo ametujulisha kuhusu kwenda Canada?
 
Marais wanastaafu lakini wanafanya kazi nyingi tu za taifa na wanapewa majukumu na Rais aliyepo madarakani kadri anavyoona inafaa utakumbuka Mkapa alipewa kazi ya upatanishi Burundi. Ni duniani kote iko hivyo kwa hiyo lisikushagaze hilo. Wako na watu wengine ambao wanastaafu lakini huwa hawastaafu. Neno kustaafu kwa wengine halimaanishi kamalilivyo.

Wale walinzia wake wote wanaripoti kwa mabosi wao, ambaye anampa briefing Rais kila siku ( japo na hao wastaafu wanapewa pia kila siku ). Huwezi kufanya kitu bila wa kujua.

Something Shadowy asijulikane!? Kwa ufupi ukishatumikia taifa sehemu nyeti na ukawa unajua baadhi ya siri za nchi huwezi kustaafu usijulikane unafanya nini
Nimekubali kwa shingo upande. Huyu bwana katuangusha sana, yaani simuamini kabisa.
 
Marais wanastaafu lakini wanafanya kazi nyingi tu za taifa na wanapewa majukumu na Rais aliyepo madarakani kadri anavyoona inafaa. Utakumbuka Mkapa alipewa kazi ya upatanishi Burundi. Ni duniani kote iko hivyo kwa hiyo lisikushagaze hilo. Wako na watu wengine ambao wanastaafu lakini huwa hawastaafu. Neno kustaafu kwa wengine halimaanishi kama lilivyo.

Wale walinzi wake wote wanaripoti kwa mabosi wao, ambaye anampa briefing Rais kila siku ( japo na hao wastaafu wanapewa pia kila siku ). Huwezi kufanya kitu bila wa kujulikana.

Something Shadowy asijulikane!? Kwa ufupi ukishatumikia taifa sehemu nyeti na ukawa unajua baadhi ya siri za nchi huwezi kustaafu usijulikane unafanya nini
Ndio maana kuna umuhim wa katiba mpya

haya mambo mbona yanafanywa kwa usiri?

analipwa nini na je anatumia ndege ya rais au?

Hivi vitu kuna umuhim vikawekwa wazi na mandate yake inaanza wapi inaishia wapi? na kwa nini alipewa yeye na sio waziri wa wizara husika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom