The bull

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
WAZUNGU KWA MICHEZO SI MCHEZO HUYU KIJANA ALIKUWA NA MIAKA 24 KARUSHWA KAFA NA SISI KWANINI KAMA MPIRA WA MIGUU HATUUWEZI TUSIBUNI MICHEZO MBADALA
alg_bull_riding_rodeo.jpg
 
WAZUNGU KWA MICHEZO SI MCHEZO HUYU KIJANA ALIKUWA NA MIAKA 24 KARUSHWA KAFA NA SISI KWANINI KAMA MPIRA WA MIGUU HATUUWEZI TUSIBUNI MICHEZO MBADALA
alg_bull_riding_rodeo.jpg

Kuna watu hapa michezo kama hii hawajawahi kuiona na kama wamesikia basi si kwa kufikiria kama ni michezo ya jasiri wa hali yajuu hadi mtu kufa shujaa. Wachezaji wa mpira Tanzania hawajitumi pamoja na kuwa na vipaji, hii ni kutokana na athari za kuzoeleka michezo ya ridhaa nchini. Nchi tajiri wachezaji ni matajiri kufikikia kiwango cha wao pia kuwa na hisa katika timu kubwa ni kutokana ni kucheza kwa kufa na kupona hapo ndo $$$ mchezaji atakuwa amenasa.

Si michezo tu, ila pia katika shughuli na kazi za kawaida watanzania hatujitumi. Waliobahatika kutembembelea mataifa makubwa na kuishi na k ufanya kazi nao wanapata picha kamili ya uwajibikaji na wameendelea kutokana na hayo. Sio ni walalamikaji wa kutaka kupandishiwa mishahara ambayo haiwiani na uwajkibikaji. Hayo ndiyo yaliyosababisha mashirika ya uma kusambaratika.
 
watanzania si wavivu ila toa posho au mshahara mzuri uone bidii .... Tatizo viongozi wetu wa babaishaji...
 
Kwa hili la watz kuwa wavivu sikubaliani nalo. Na hilo la mashirika ya umma kufa kwa sababu ya watz kuwa wavivu pia sikubaliani nalo.
Ninachojua ni viongozi wetu kutufuata sheria na uwajibikaji. Mtu anaboronga hapa anamishiwa sehemu nyingine akaboronge.
 
Back
Top Bottom