The Brand New Chinese Fastest Train-350kmh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Brand New Chinese Fastest Train-350kmh

Discussion in 'International Forum' started by Abdulhalim, Dec 27, 2009.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  BEIJING (AFP) – China on Saturday unveiled what it billed as the fastest rail link in the world -- a train connecting the modern cities of Guangzhou and Wuhan at an average speed of 350 kilometres (217 miles) an hour.
  The super-high-speed train reduces the 1,069 kilometre journey to a three hour ride and cuts the previous journey time by more than seven and a half hours, the official Xinhua news agency said.
  Work on the project began in 2005 as part of plans to expand a high-speed network aimed at eventually linking Guangzhou, a business hub in southern China near Hong Kong, with the capital Beijing, Xinhua added.
  "The train can go 394.2 kilometres per hour, it's the fastest train in operation in the world," Zhang Shuguang, head of the transport bureau at the railways ministry, told Xinhua.
  Test runs for the service began earlier in December and the link officially went into service when the first scheduled train left the eastern metropolis of Wuhan on Saturday.
  By comparison, the average for high-speed trains in Japan was 243 kilometres per hour while in France it was 277 kilometres per hour, said Xu Fangliang, general engineer in charge of designing the link, according to Xinhua.
  Beijing has an ambitious rail development programme aimed at increasing the national network from the current 86,000 kilometres to 120,000 kilometres, making it the most extensive rail system outside the United States.
  China unveiled its first high-speed line at the time of the Beijing Olympics in 2008 -- a service linking the capital with the port city of Tianjin.
  In September, officials said they planned to build 42 high-speed lines by 2012 in a massive system overhaul as part of efforts to spur economic growth amid the global downturn.
  The network uses technology developed in co-operation with foreign firms such as Siemens, Bombardier and Alstom.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  This is exactly what you get when you have a nationals who think big.

  Sisi huku tunakalia siasa, wenzetu wana-modernize maisha yao ktk kila aspect.
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Dec 27, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Yaani hii treni unasafiri masaa 2 tu toka Dar mpaka Singida badala ya masaa 10 ya basi! Sio mchezo!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  That's what's up
   
 5. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  Kuna umbali gani toka Dar - Singida? ninavyojua ni chini ya 800km.

  Hii treni inatumia muda huo ktk 1000km. Labda usema Dar to Mpanda au Kigoma kabisa.
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Si zaidi ya miaka 5, au kwa lugha nyingine... wameanza kujenga pale Mh. Rais Kikwete alipochaguliwa kuingia madarakani!!!

  Dar Rapid Transport System iko kwenye michoro karibia miaka 10 sasa, implementation zero!! Halafu majitu yanazidi kununuliana mashangingi na kujengeana majumba tu kama fadhila badala ya kuangalia maendeleo ya wananchi waliowengi, na sisi tulivyo mijinga tunazidi kuichagua na kuipigia makofi!
   
 7. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Fortune favors the brave.
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280

  Mpaka Singida ni km 548km. (Dar Singida ni kama saa moja na nusu.

  Umbali kutoka Dar hadi Kigoma ni 1090 km.

  Hadi Mwanza ni 853 km. na Musoma ni 847 km.
   
 9. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Utaratibu wa uongozi wa China ni tofauti sana na Tanzania. Kwa mimi ninayeishi china kwa zaidi ya miaka 7 sasa naelewa vyema suala hili. Sisi tuna mambo mengi ya kufanya kabla ya kuanza kutekeleza mradi kitu ambacho ni tofauti sana na China.

  China kuna mstari wa utekelezaji na maamuzi. Kila kinachoamriwa ni lazima kitekelezwe bila ubishi. .... Sisi siasa ni nyingi na ujuaji mwingi na kwenda mahakamani kwingi ..... project zina chelewa kuanza au kutekelezwa.

  Tubadilike tupate uzalendo
   
 10. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...absolutely!

  I'll go further with this "bravely" thing:

  --- Just like at Tiananmen square, imagine if tens of walalahoi queued in front of the grotesque 1.4 billion mansion in protest for a week or so kwa prioritisation tulizonazo .... Wazee wa shirikisho la E.Africa walifanikisha walau kwa siku mbili pale Magogoni...
   
 11. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Pale wanapoamua kuwatimua wanafunzi mashuleni kwa migomo mbona huwa hawachelewi wala kupingwa? Pale wanapoamua kununua mashangingi na kujengeana au kuuziana majumba ya serikali mbona huwa hawachelewi wala kupingika??!

  Ubinafsi tu umewajaa viongozi wetu, pamoja na wengi wao kuishi na kusoma kwenye nchi 'zilizo endelea' na ma elimu ya juu kemkem, bado ubinafsi, uzembe, dharau, ujinga umetawala.
   
 12. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Viongozi wa Tanzania wana madaraka makubwa kama maCEO na viongozi wa China.

  Matatizo yanayokuja ni kwenye execution. Walishajaribu miaka ya zamani kulazimisha watu lakini hakuna mafanikio. Hivyo huwezi kuendelea kutoa amri wakati hujui kufanikiwa.
   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...kuchapa viboko kama mjerumani katika ujenzi wa reli ya kati, au?!

  ...Z10 unaweza kutoa mifano tafadhali, thanx!
   
 14. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Vijiji vya ujamaa is the grandioso of all. Uanzishaji wa mashamba au miradi ya serikali uliambatana na wananchi kuachia vipande vya ardhi kwa lazima na kwa mapato yaliopangwa na serikali.
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...are we forever gonna blame Nyerere and his catastrophic grand ideas, or are we at one point going to draw a line and call to task incumbent leaders to manage and modernise one or two of the few colonial infrastructural remnants that we dearly still rely on?! now that we are evidencing a 1000km high speed rail being built in 5 years or less...
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sijui kama Singida ni km 700. Hii treni nafikiria kama ingekuwa bongo nadhani ni masaa 3-3.5 Dar-Mwanza.

  Nway, naona mchina amemjibu mjapan, maana mjapan alikuwa anaringa sana na matreni yake (Shinkasen)
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kuna matatizo ya kimuundo wa kufanya miradi hasa inayotekelezwa na serikali. Wenyewe wanaita mchakato wa kupata mkandarasi/mshauri/au mzabuni/mbia na lugha nyingine kama hizo. Hii michakato inapata nguvu zake kutoka serikalini baada ya serikali kuridhia matakwa ya wafadhili hasa World Bank na IMF. Ndio maana miradi yote inayotolewa fedha zake kutoka WB lazima serikali i-implement mfumo uliokubaliwa na WB & co, regardless funds hizo ni mkopo au grant. Ndipo hapo tunasingizia tunajitawala lakini kiukweli ni kuwa sisi ni watumwa na tunaandaa mazingira zaidi ya kitumwa hata kwa vizazi vijavyo.

  Nadhani wakati sasa wa serikali kutumia udikteta kwenye mambo nyeti kama hii miradi mikubwa. Vitengo vya ujenzi pale JKT na JWTZ ilikuwa ni mahali muhimu kabisa kwa kusimamia walau 40% ya miradi yote ya serikali na kuitekeleza kwa ufanisi, iwapo tungeacha umimi na kuamua kuwa huru kifikra. Utakuta kutokana hii michakato kuwa mirefu, isiyo na tija na kuhusisha mikono mingi ya watu wasio na ufahamu hususan wanasiasa, matokeo yake ni kujengwa kwa miundombinu hafifu ambayo inachukua muda mrefu kukamilika, and sarakasi, ins -outs back and forth nyingi zisizo na kichwa wala miguu.
   
 18. Modereta

  Modereta Senior Member

  #18
  Dec 28, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  taarifa tu : Dar- Moro (km 200) Moro - Dodoma (km 250) Dodoma -Manyoni (km 120) Manyoni Singida (km 120) Jumla km 690
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hongera kwa kubadili jina!mwaka mpya na mambo mapya
   
 20. Modereta

  Modereta Senior Member

  #20
  Dec 28, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nasi tunahitaji kuangalia mfumo wetu wa utawala na maendeleo. Huko nyuma tulikuwa na Sunguratex, Kilitex, UFI, Urafiki, Fishnet nk. Barabara hazikuwa za lami lakini zilipitika, Iringa -Dodoma (sijui kama kuna basi huko siku hizi) Mbeya -Itigi. Wakati fulani shirika la Reli ulikuwa unakata tiketi toka Itungi kule Kyela/ kwenda Bukoba (Itungi-Itigi basi la Railway, Itigi-Mwanza treni, Mwanza -Bukoba Meli) ticket moja na huna matata njiani unahama tu. Sasa hiyu organisation structure ya kusimamia hiyo kwa ufanisi imekwenda wapi (maana, treni ilikuwa haiondoki Dodoma kabala basi la kutoka iringa na Arusha hayajafika, na yalikuwa hayachelewi ovyo ovyo pamoja na barabara kuwa za vumbi) Leo hii hakuna mawasiliano kati ya Jiji wajenga barabara na DAwasco wajimba barabara kuweka mabomba.
  Tuanzie wapi????????????????? mfumo haupo, nadhani ni vyema tukaanza na uongozi uwe na mfumo sahihi wa kuwekwa!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...