The Boycott Tigo Tanzania Campaign

Either you are employed by Sasatel or you are just the Company's official Vuvuzela.
kama kweli nia yako ni watu tuhamie Sasatel ili kupata huduma bora ya mtandao wa CDMA basi ungekuwa mkweli ungetushauri pia kuangalia uwezekano wa kwenda TTCL maana nao pia wanatumia CDMA lakini kubwa zaidi wao tayari wameishasambaa NCHI NZIMA na huduma yao ya Wireless Internet may have its share of hiccups lakini bado ni the Best.
Sifanyi kazi TTCL bali ni mteja mzuri wa Wireless Internet yao ya CDMA!
 
Je ni wateja wangapi katika simu yako ya sasatel ambao utawapigia almost free airtime (as you meant sasatel to sasatel)na kuwafikia. Nadhani ukiishajibu swali hilo utaona hasara na faida..... Hesabu zako ni nzuri sana lakini kwa mtanzania mwelewa hawezi kukubaliana na wewe kabisa kwa analysis au base ya kuwa utasave pesa.....
 
Sasatel are data specialist na wanategemea kukua nchini Tanzania kwa kuwekeza sana kwenye WiMAX. Kwa huduma ya simu nadhani watashindwa, hawawezi kupambana na tigo, voda, airtel. Kwa waliowengi hata kama unatumia voda au airtel ni lazima uwe na tigo.
 
From your calculations, I agree its very cost effective to use sasatel.,tbut he problem is their COVERAGE is almost insignificant in the mainland!
 
Back
Top Bottom