The boring Life of Me

hakuna mwanasayansi aliewahi kuthibitisha kua bangi inamadhara qa binadam..
jaribu kutumia iyo kitu itakuasaidia sana..
 
The so called inner peace is fuckin' overated,maisha unayoishi ndio hayo hayo unayostahili kuyaishi masuala ya kuangalia wenzako labda wakichek mpira,datings,ku hang out ndio wanakua wako happy that's their life n not your's.

No one got 100% inner peace of mind, na kama yupo basi ni marehemu.

Live your life.
 
Hiyo imenikuta sana enzi za ujana wangu,unamzimia mtoto mpaka unalia mwenyewe usiku lakini nilikuwa nafkiria nalishwa,navishwa na wazee nikimtongoza wakati sina mbele wala nyuma ntampeleka wapi?

Basi nafsi yangu taratibu ikawa inajiachia na kuwaona wa kawaida mpaka leo sina tabu nao.

Tunapitia mengi vijanaa
Vijana tunachallenge nyingi saan

Kwa umri nilonao naona kabisa ata nikitongoza sijui ntamsaidia vip kam mim tu sometime nashindwa

Najikuta nakua mpole
 
Moja ya sababu kuwa member wa JF ilikuwa kupunguza upweke, pia ku- socialize! Kuna wakati niliishi kama kisiwa, sikuwa na watu wa kuzungumza nao nikaukosa sana utani wa hapa na pale, tabasamu n.k. Ikawa mimi na kazi, kazi na mimi.

Ilinibidi kujifunza vitu vingi mbadala ilikupunguza upweke kama kucheza piano, guitar, online dancing class na hobbies nyingine nyingi ...

Sidhani kama kuna mtu hapa JF ana Hobbies nyingi kuliko mimi,.. Nimesafiri na kufanya mambo mengi ambayo najua ni wachache sana hapa JF wame experience.

Nimejitahid saaana ila imefika hatua nashindwa kuelewa nini nakosa kupata furaha nayotaka. I have done every thing to make sure that I am not getting bored in life lakini wapi!

The thing is I don’t even recognize myself these days, or rather who I was back then. Kitu sijafanya ni ulevi( matumizi ya pombe, sigara na sampuri kama hii), kitu ambacho si utamaduni wangu na siwezi kufanya.

Sijaoa bado, umri unaruhusu kufanya hivyo ingawa mazingira yangu na aina ya mwenzi nataka hapatikani hapa nilipo. Mahusiano yangu kimapenzi ni date not to stay, sioni shida sana sababu nilchagua kuoa nyumbani.

Kiukweli napenda ninacho fanya hapa (Kazi yangu) na pesa nzuri napata ila sifurahiii maisha yangu.

Ahsante kwa marafiki zangu JF nawale #wazee wa likes ,, though wakati mwingine ni kama sipo ila ukweli ni kwamba nafurahia uwepo wenu, nawapenda pia.



Nawatakieni weekend Njema!!
Naomba kufahamu Kama hiyo pic hapo kwa avatar ni wewe.
 
Hii ni dawa sahihi, kupata the right person. Lakino shida hujitokeza. Mfano mimi siwezi kabisa attachments / commitments. Najia fika huyu ni mtu sahihi lakini ntampotezea tu after sometime

Wewe unanielewa zaidi,
 
Back
Top Bottom