The Book Readers Forum

Innocenzo

Member
Jul 29, 2017
21
45
Juzi ilikuwa siku ya vitabu duniani.Hivyo nafikiria mimi na wewe tutengeneze group letu la whatsapp la kusoma vitabu ambalo tutaliita "The Book Readers Forum."

Group letu litakuwa na lengo la kuelimishana kwa kupitia vitabu vya kielimu,makala mbalimbali,vitabu vya sanaa,inspirational speech n.k...

Kama uko interested please inbox me kwa Whatsapp number 0653349617

[HASHTAG]#reading[/HASHTAG] is knowledge
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom