The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 2,997
- 4,166
Sio wote wanaoweza kusoma vitabu vya aina hiyo wanaweza kuhimili nguvu zilizomo kwenye hivyo vitabu.
Kama ilivyo kwa Sisi Wakristo Biblia ni Kitabu HAI.
Unapo kisoma Nguvu za Mungu zinakuzunguka na kukufuatilia na kama upo makini nacho basi Roho Mtakatifu anashuka kukaa ndani yako huku malaika wakikulinda ili upate manufaa ya hayo unayoyasoma humo.
Hali kadharika unaposoma Kitabu cha Ulimwengu wa Kuzimu nacho ni hai pia na kinafanya kazi muda wote.
Nguvu za Shetani akiwemo Shetani mwenyewe anakufuatilia kwa furaha sana na akiona unapendezwa na yaliyomo humo anakuja kuweka makazi yake kwako.
Hapo utakuwa umefungua Mlango wa Roho yako kukaliwa na Majini Maovu sana.
Kumbuka hicho kitabu kimeandika hadi Ibada halisi za Kishetani.
Mtu mwingine asiye imara anaweza kuvutiwa na hizo ibada na akajaribu kuzifanya, na hapo anaweza kujistukia usiku anahudhuria ibada halisi
naomba nikuulize kama umesoma " THE EMERALD TABLETS OF THOTH THE ATLANTEAN"