The Blacklist series

Hiyo ambae ataitizama na asiipende atakua na lake jambo. Series nilizopata kuangalia marambilimbili ni

PPB
BB
Vigezo navyotumia ni kua series ambayo nikikaa natamani kuangalia baadhi ya episode au series nzima. Ila BB bado haijanishawishi kuirudia. Ila nakubali BB in uhalisia mkubwa sana na akili ilitumika kutengeneza salute kwake Vince Gilgan
wazee mbn mnaandika vifupi ss, em andikeni kwa urefu na sie tukazisake, BB na PB sio.mchongo
 
Hivi upo Dar?
Mkuu kama unapenda series za mkono angalia hii series ya Agent of Shield. Zipo related na matukio ya muvi za Marvel. Creator wa hii series ni Josh Whedon aliyedirect muvi za Avanger 2012,Avanger age of Ultron, Justice League nk nk. Niliikubali sana
 
Jana ndio nimemaliza kutazama season ya 7 Lizzy anatangaza kuungana na mama yake(Katerina) dhidi ya Redington sijui itakuwaje!
Unaangalia vitu vya wanaume shauri yako wewe.
Ila mnazidi kunitamanisha ndio kwanza niko S4EP7
 
Unaangalia vitu vya wanaume shauri yako wewe.
Ila mnazidi kunitamanisha ndio kwanza niko S4EP7
Haha eti vitu vya wanaume! Yani huo uhondo wafaidi wanaume tu...komaa nayo ngoja nije nipakue hiyo season 8 naona wadau wamesema tyr.
 
Haha eti vitu vya wanaume! Yani huo uhondo wafaidi wanaume tu...komaa nayo ngoja nije nipakue hiyo season 8 naona wadau wamesema tyr.
Kuna Huba,Selina,Sultan nk.. zinawafaa females. Hizi tuachie sie.
Btw Nawe ulinitakia mitano tena ya Ban sawa
 
Kuna Huba,Selina,Sultan nk.. zinawafaa females. Hizi tuachie sie.
Btw Nawe ulinitakia mitano tena ya Ban sawa
😀😀😀😀

Kumbe unakumbuka eeh ndio uache kufutafuta mi hata sipendi.

Hizo ulizotaja ni za house girls aisee mimi siwezi kupoteza muda wangu huko nafuatilia tu vitu vyenye akili mingi.
 
Kifupi inatufundisha tuwe na connection ya kutosha ndani na nje ya nchi connection hiyo inatumika kusolve hili na lile ambalo linaweza kujitokeza bila wewe kutegemea. Kwa ujumla tuwekeze kwenye rasilimali watu.

Kwa sasa mimi nipo na the oval naiona series fulani yenye kitu cha tofauti.

Namna ambavyo kuna maisha halisi ndani ya ikulu na yale maisha tunayo oneshwa lqenye tv
Umewahi kufikiri raisi anaingizaje michepuko ikulu akisaidiwa na walinzi wale? Umewahi fikiria ni namna gani watoto wa raisi wanatoka nje ya ikulu kwenda kwa wapenzi wao wa zamani kabla hawajaingia ikulu? ni aeries fulani ukiianza huwezi taamani kuiacha

Niliipendaga house of cards lkn njiani nikaachana nayo ilianza kua ya kiboya.
 
Sure, mtu anae weza m blackmail hadi rais wa nchi, sio mtu mdogo.

Ila nimejifunza katika maisha yoyote yale kila mtu ana weaknesses yake, ambayo ukiguswa hapo lazima uwe mpolee tuuu.


Ndio maanaaa hata hapa nchi ya CHATOO unaweza shanga anatokea kiongozi shupavuu kweli kweli ila anakuja badilika hadi mna baki shangaaa. (Jiwe na rostam )

FBI mwenye uwezo huo alikua J Edgar hoover,the one and only.
 
Back
Top Bottom