The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

Huyu dogo anafanya haya yote kwa sababu ya harmonize na ali kiba na zaid wasanii wengine kama marioo wanatoa ngoma kali na zaidi wabongo saiv wanapagawa na nyimbo na wasanii wa kinaijeria na kila siku kuna nyimbo mpya
Sasa dogo lazima aje na kitu cha kupooza huo moto ili akae kwenye headlines.
Hizi fikra za fulani akifanya kafanya sababu ya flani sijui uwa mnazitoa wapi.
Watu wanapiga pesa tu na wanatimiza malengo
 
Huyu dogo anafanya haya yote kwa sababu ya harmonize na ali kiba na zaid wasanii wengine kama marioo wanatoa ngoma kali na zaidi wabongo saiv wanapagawa na nyimbo na wasanii wa kinaijeria na kila siku kuna nyimbo mpya
Sasa dogo lazima aje na kitu cha kupooza huo moto ili akae kwenye headlines.
Ila wewe jamaa ni mpuuzi sijapata kuona
 
Mkuu kuwa serious, manara alimbusu mwanaume? 😳
manara sio mtu kabisa

AC3C2F8A-33A7-4303-B9E4-C8E1D05D9537.jpeg
 
Show mbovu kishenzi,Zuchu akiimba kama anaongea.

Huyu Manara anatia aibu kubusu mwanaume .
Hasira za makolo wenzio unazihamishia mpka huku?
Mbona hajafanya tukio baya kumtoza hela mondi ndio dhambi?

Huna hela mbwa wewe uliangalia kwenye TV acha wivu haji kakuzidi mpka dhambi kuwa na heshima.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini Diamond anamuoa Zuchu

Hamna ndoa hapa (hapo sijamaanisha haiwezekani)

Lakini chukua utabiri wangu Diamond hatokuja kuoa Maishani..sanasana atawachezea na kuwatelekeza wanawake wabaki Single mother... Masharti na vifungu vya mkataba vinam'bana
 
Wanabodi,

Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.

Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali,
Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba, The Biggest Star wa Kike wa Bongo?.

Kwa vile JF was meant to be the home of great thinkers, ma great thinkers hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo nakuomba, hata kama wewe sio great mind, ni simple mind, hivyo unapenda ku discuss people, for the sake of this thread, nakuomba usitaje jina lolote!, jifanye ni great mind!, hili ni bandiko la info tip ya the biggest opportune moment ya kuvishana Pete za uchumba ni siku ya Valentine day.

Lengo la kupandisha hili bandiko ni kukupatia wewe mwana jf, ile the jf advantage to be the first to know kuwa leo kuna uwezekano wa the biggest Star wa Bongo anavisha pete na kuna the biggest Star wa Bongo anavishwa pete!.

Information is Power
Happy Valentines!.
Paskali

Wanabodi,

Update
This didn't happen.
P
Umezidi kukariii fu** u
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom