Kama Nchi tunawasaidizi wakushangilia alisema mkubwa bila kuchimbua kwa undani.
Mradi wa bandari ya bagamoyo,pamoja na yote ukimsikiliza Magufuli anakushawishi uuchimbe mkataba hata kama hujasoma utagundua tu.
Hoja ya Rais Samia inazidisha utata neno wanazungumza ili mradi uendelee,hapo tayari anathibitisha kauli ya Magufuli.
Rais Samia aje nampango mpya nje ya hao wa awali kuondoa ukakasi. Spika sio wakumwekea dhamana,ameonyesha ukinyonga katika awamu hizi mbili kwenye mambo yakitaifa.
Tena ikiwezekana kiti akalie msukuma tutamuelewa vizuri tu.