The best way to breakup.....

Fellas, what is the best way to breakup with your girlfriend/ boyfriend? By email, phone (sms), phone call, face to face, or do you just give him/her the silent treatment until she/he figures out what's up?

Nafikiri inabidi uwe unafanya kwa stages!kwanza unafanya silent treatment, then una mface ili myamalize!Hii ni kumfanya mwenzio asiumie sana na awe tayari amashajiandaa saikolojikali kupokea hiyo taarifa!ukilifanya kwa haraka na kutumia lugha ya moja kwa moja unaweza ukamuua mwenzio kwa pressure!!!!!!
 
ha ha ha ha The :A S crown-1: hii ni face to face, phone call, au SMS?
hahaha!
hii ni uso kwa uso mkuu..........!
na gestures nyingi mno

lakini hapo lazima kwanza :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
 
There is no BEST WAY to breakup there are just different ways of saying it.. Go with what works for you and do it...
 
hahaha!
hii ni uso kwa uso mkuu..........!
na gestures nyingi mno

lakini hapo lazima kwanza :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
Lazima uwe na uhakika kama hii :fencing:kweli unaiweza bila hivyo :car:iwe karribu sana.....
 
The Best way ni face to face kama una guts za kuongea naye...maana ukitumia phone call,email or sms lazima tu atahitaji muonane umueleze kilichojiri........why...kwa nn???
na kama hajahitaji muonane ameomba umweleze kwa simu hivyohivyo na akaitikia sawa,nawe tumuweke kundi gani huyu?
 
BWANA WEE SIKILIZA BWANA ...KAA VIPI CHAPA MWENDO BWANA
DEM GANI WEEE BANA!!...kila mshkaji nini akija nini akipiga ndogondogo nini UNAMVULIA TU,dah!kama vipi sio inshu unawezza ukatamba-tambaaaaaaaaaaa

Hii nilazima uwe unaishi pale manzese midizini ama kwa mfuga mbwa! Sasa Gentleman kama Bala na NN wanaweza mwaga mboga kwa style hii kweli?
 
Hii nilazima uwe unaishi pale manzese midizini ama kwa mfuga mbwa! Sasa Gentleman kama Bala na NN wanaweza mwaga mboga kwa style hii kweli?

Hapana aisee mimi na bhayenga Bala hatuwezi sema maneno ya ovyo namna hiyo...
 
Nafikiri inabidi uwe unafanya kwa stages!kwanza unafanya silent treatment, then una mface ili myamalize!Hii ni kumfanya mwenzio asiumie sana na awe tayari amashajiandaa saikolojikali kupokea hiyo taarifa!ukilifanya kwa haraka na kutumia lugha ya moja kwa moja unaweza ukamuua mwenzio kwa pressure!!!!!!

Silent treatment huh? Kuna mtu alizamia nje miaka kadhaa kurudi akajikuta bado anasubiriwa!
 
it depends on the reason why you break such a relationship pamoja na approach u wanna use,is it kwa amani au kwa shari? i advice use any way lakini iwe reasonable kwa huyo msichana sio unamwacha tu bila sababu,it will hurt her for the rest of her life especialy if she real loves u
 
kama ni wana ndoa FACE TO FACE and is a process hili lipo wazi nadhani, kama ni BF & GF whatever way, inategemea kitu gani kinasababisha mtengano wenu, kama ni issue say cheating, ooohh hapo any way break up is possible, ila kama ni mambo mengine, maisha, umbali, kutompenda, kumchoka mwenzako, nk, SILENT, kujifanya uko BUSY is the best way at the beggining, then get OFF.
 
:shut-mouth:silent treatment has worked once for me!!
:phone:hii kuna wengine wanaushawishi mkubwa sana utajikuta unamwonea huruma..
:argue:hii mmoja atatoa chozi
:typing:hii hamna muafaka utakaopatikana
 
BWANA WEE SIKILIZA BWANA ...KAA VIPI CHAPA MWENDO BWANA
DEM GANI WEEE BANA!!...kila mshkaji nini akija nini akipiga ndogondogo nini UNAMVULIA TU,dah!kama vipi sio inshu unawezza ukatamba-tambaaaaaaaaaaa

mweeeeeeeeeeeee hatari namna i!!!!!!!!
km juz nilivyompiga fidodido kibut ???
 
Nadhani sasa kila mtu ni muelewa kwenye swala zima la mapenzi ,kama penzi limeisha hata likilazimishwa namna gani haliwezi kuwa kama mwanzo
The best way ni face to face unamuita mwenzako na kumwambia ukweli wako ,Ingawa itakuwa ngumu kwake kuupokea lakini siku zinavyoenda ataanza kuizoea hali hiyo na mnaweza kuwa hata marafiki wa kawaida kwa kuusema ukweli wako
Mtu atume msg ya simu eti kuanzia leo mie na it is over :whoo:.
i will forget but never forgive ,mnakuwa wote na kushare kila kitu pamoja iweje leo anitumie msg"?
 
Back
Top Bottom