The best way to breakup.....

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,180
113,363
Fellas, what is the best way to breakup with your girlfriend/ boyfriend? By email, phone (sms), phone call, face to face, or do you just give him/her the silent treatment until she/he figures out what's up?
 
hahahahahahah!
ngoja kwanza nitarudi very soon,
naingia kuperuz junoooz

MUTU YA BYUROO inakuwaje bana?
 
Fellas, what is the best way to breakup with your girlfriend/ boyfriend? By email, phone (sms), phone call, face to face, or do you just give him/her the silent treatment until she/he figures out what's up?
Any of the ways is the best, provided it will never get you back...!
 
sasa kama uko pande za mbele BYUROO ya kazi gani bana wee?

Heheheheeee kwa washikaji zake na mungu.....kweli sihitaji tena byuroooo....ni maswala ya kuchanja American Express, Mastercard, Visa, na Discover.....
 
Halafu wewe................

Jei Esi.....tukutane chemba baadaye kidogo....najua nina kesi ya kujibu......btw, is there still any more room for.......in those Juicy Couture jeans?
 
Fellas, what is the best way to breakup with your girlfriend/ boyfriend? By email, phone (sms), phone call, face to face, or do you just give him/her the silent treatment until she/he figures out what's up?
The Best way ni face to face kama una guts za kuongea naye...maana ukitumia phone call,email or sms lazima tu atahitaji muonane umueleze kilichojiri........why...kwa nn???
 
From my experience and wht i'v seen around me silent treatment huwa inaanza then face to face (But this is strictly for boyfriend/girlfiend relationship)............., the gd thing of silent treatment huwa inatoa muda wa kufikiri vzuri kama maamuzi u r about to take ni sahihi. As such unaweza ukarudi fasta na kurekebisha kirahisi kama unadhani umekosea!
 
Fellas, what is the best way to breakup with your girlfriend/ boyfriend? By email, phone (sms), phone call, face to face, or do you just give him/her the silent treatment until she/he figures out what's up?

Mi huwa naingia mitini tu kimyaaaaa ili baadae nikipatwa na ukame inakuwa rahisi kurudi
 
BWANA WEE SIKILIZA BWANA ...KAA VIPI CHAPA MWENDO BWANA
DEM GANI WEEE BANA!!...kila mshkaji nini akija nini akipiga ndogondogo nini UNAMVULIA TU,dah!kama vipi sio inshu unawezza ukatamba-tambaaaaaaaaaaa
 
ha ha ha ha The :A S crown-1: hii ni face to face, phone call, au SMS?
 
Jei Esi.....tukutane chemba baadaye kidogo....najua nina kesi ya kujibu......btw, is there still any more room for.......in those Juicy Couture jeans?

There is plenty of room in them Juicy Couture jeans....utanitambua leo nakungoja kwa hamu huko chemba ujieleze vizuri makosa yako!!!
 
hakuna best way to breakup.....
all breakups are horrible....
but when its over do it in any way u want....
coz either way u gona hurt someones feelings...
 
Back
Top Bottom