The best Tanzanian Football Player of All the Time

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,097
27,060
Tangu tupate Uhuru kumekuwa na wachezaji wengi mahiri wa soka..Je katika wote hao unadhani ni mchezaji yupi anafaa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa kitanzania wa wakati wote..

Mimi kwa maoni yangu mimi mchezaji bora wa mpira wa miguu wa wakati wote wa Kitanzania ni Said Mwamba Nassoro " Kizota ".Mdau wewe kwa maoni yako unadhani nani anafaa..Je unadhani Tanzania tumewahi kuwa na mchezaji wa kariba ya Said Mwamba Kizota?
 
Tuwekee picha ya Said Mwamba Kizota plz
SAID+MWAMBA+KIZOTA.png
 
Back
Top Bottom