The best investment i have ever made!

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
It's a new century
When I was a kid my parents taught me the same formula for success that you probably learned: Go to school, study hard and get good grades so you can get a secure, high paying job with benefits-and your job will take care of you. But that's industrial age thinking and we're not in the industrial age anymore. Your job is not going to take good care of you. It's a new century and the rules have changed.
My parents believed in job security, company pensions social security and medicare. These are all worn-out, obsolete ideas left over from an age gone by. Today job security is a joke and the very idea of life time employment with a single company is as anachronistic as a manual type writer.

THE ECONOMY IS NOT THE ISSUE THE ISSUE IS YOU !!

Are you angry at the corruptionin the corporate world ? At wall street and the big banks ? At the government for doing too much of the wrong things and not enough at the right things ?
Or are you angry at yourself for not taking control of your finances sooner ? Life is tough.The question is,what are you going to do about it ? Moaning and groaning about the economy or blaming others won't secure your financial future. If you want wealth, you need to create it. You need to take charge of your future by taking control of your income source-TODAY !!

YOU NEED YOUR OWN BUSINESS.

These may be economic hard times for the majority, but for many entrepreneurs, these are times teeming with economic potential. Not only now is the time to have your own business, but there has never been a better time than right now !!
Subscribe: www.flp.7figuresuccess.com

THANKS & GOD BLESS YOU !!
 
Rich dad poor dad-Kiyossaki....so inspirational, nilijiona nimepiga hatua moja mbele nilipomaliza kukisoma kile kitabu!
 
najisikia vibaya sana kwa upumbavu nilio nao kichwani kwangu sijui na wenzangu mko hivyo? shule nimeenda tenda mbaya zaidi nimesoma biashara kwa muda wa miaka mitano harafu nashindwa eti hat kuuza sindano ya kushonea nguo. nimekazana kila siku kutafuta kazi mpaka lini? kama ujinga nishafuta sasa maisha haya mpaka lini?
haya naweza kusema sina mtaji je nina business plan niliyoitarisha kwa mtaji ninao taka? we should stop to be stupid lets change! huu ni upuuzi mtupu! nimechoka kwa kweli hebu fikiria unanua magazeti matatu eti unapoteza muda kutafuta kazi tu! hivi fedha ya haya magazeti na postege kwa mwezi hayatoshi kuanzia biashara?
lakini kuna kitu kimoja kimeniumiza sana na kwa hili likiwa kikwazo nipo tayari kutoa rushwa ili nifanikiwe! eti hata kama umeweka phisical addss kama ofisi ipo nyumbani no lesseni kama vile pango walinipa na mtaji wa biashara.badilikeni mbona london hawafanyi hivyo! hizi manisupaa ziache longolongo tunapata wapi pango la ofisi watupe leseni kwa makazi yetu na baada ya muda tutatafuta vijiwe.mbaya zaidi wako bado nyuma hawaelewi kuwa business has change.
tulio jariwa shule tutengeneze ajira mi nabadilika sasa
 
Mkuu Chiwa kwa kweli huo uamuzi wako nimeupenda, ifike mahali watu wabadilike na kuwa na positive altitude kuhusu maisha na kuwa maisha sio lazima kuajiriwa, kama una maarifa ya kutosha na nia pia waweza anzisha biashara na ku create ajira...!
 
chiwa tha issue ni kwamba u should take action....and always stay positive....u should think of a business yenye mtaji mdogo sana but yenye possibility ya kukua na kua kubwa...binafsi ni kijana wa miaka 20 nina biashara nilioitanua mpaka USA,UK, canada, south africa na australia......ni vigumu kuamini but ukweli ni huo.....design naona shule ni ya kupunguza ujinga tu..na kuniweka updated lkn cio kwa ajili ya kuajiriwa.....and am always staying positive and believing in my business.
 
Back
Top Bottom