The best Antivirus this 2010: What's yours? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The best Antivirus this 2010: What's yours?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MziziMkavu, Jun 15, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]
  • [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]
   
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Norton kiboko yao.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu Umekosa kama ni mtihani Norton inafanya Computer yako kuenda taribu kama kinyonga Norton inakula sana Memory kwenye Computer usijaribu kuitumia hata kidogo na Kuna mwengine anayejuwa jamani atoe msaada wake
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  I think AVG is ok...
   
 5. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2010
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  NOD32 ni nzuri sana, kwenye Windows Vista na Windows 7, ila inakaribiwa karibu sana Kaspersky na BitDefender.
   
 6. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hili swali ni mtego au unataka kujua? Inaonekana unajua sana :)

  kaspersky na Bitdefender ndizo natumia, ila kazini kwetu tunatumia Norton na sijaona ziki-slow down machine ila najua hapo zamani za kale (once upon a time) ndo zilikuwa na mchezo mbaya wa kusaka resorces nafikiri walisharekebisha hillo tatizo!!!
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sijui ant virus ipi ni kiboko, bali natumia Microsoft security essentials.
   
 8. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa Ushauri wangu mimi Kiboko ya zote anti-Virus ni hii Avira AntiVir Personal - Free Antivirus 10.0.0.567 Au hii ya kulpia Avira's Premium Security Suite kwa nini imekuwa kiboko hebu angalia inavyolinda Bonyeza hapa Virus Bulletin : News - AV-Test release latest results

  Independent testing body AV-Test.org has released the results of a major comparative of suite products, with many vendors' 2009 editions included in the results. The test covers a range of metrics, including detection rates over various types of malware including adware and spyware, false positive rates, scanning speed, proactive detection, and response times to outbreaks.

  In terms of pure detection rates in on-demand scanning, a beta version of GDATA's AVK 2009 topped the charts for both 'malware' (measured against 1,164,662 samples) and 'ad- and spyware' (94,291 samples), with Avira's Premium Security Suite 2008 a close runner-up in the former category and F-Secure 2009 placing second in the latter. Secure Computing's Webwasher gateway product, based on the Avira engine with some in-house heuristics, came third in both categories.

  Other areas analysed were scored on a five-point scale from very good to very poor. 'Proactive' protection included scanning of files discovered after the freezing of products, and executing unrecognised malware to test behavioural protection. Products rating 'good' or better in every category include Avira's premium suite (the popular free version has less complete spyware detection), AVK 2009, F-Secure's 2009 suite, Symantec's Norton I.S. 2009 (still in beta) and Sophos's Security Suite 2.5. All products taking part in the test managed to achieve a 'good' or better in at least one category.

  The test also included keeping a record of the number of updates released over a four-week period. Of course, these numbers on their own cannot be used to measure the quality of the products involved, but were recorded out of interest. The most interesting data to emerge from this measurement was that the 2009 version of Norton topped the table with an impressive 6,202 incremental micro-updates, issued several times per hour, while Kaspersky came a distant second with a mere 696. Half of the 34 products tested had fewer than 100, including those from McAfee (21) and Trend Micro (30).

  A summary of the major areas tested is printed below; hover over the product names to see full version information.

  SOURCE: Virus Bulletin : News - AV-Test release latest results
   
 9. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Binafsi huwa natumia AVG, Avast ama Kaspersky............Ni nzuri hizi.

  Jaribu mojawapo ikiwezekana
   
 10. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  NORTON IS currently the worst ant virus ....it makes your computer slow like hell..... I will Go for kersperksy.... it happen to be the best ant virus for the past thre years..... the second best after BIT difender
   
 11. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nakuunga mkono Mkuu,

  Pia hata McAfee, ila me nashindwa kuelewa kabisa ukiweka Ant-Virus zingine kama Norton tu PC inakuwa slow mbaya,

  Nami hupendelea sana McAfee, AVG, Kaspersky sana ndio naona hunisaidia sana
   
 12. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,836
  Likes Received: 1,091
  Trophy Points: 280
  mi natumia Rising kwa miaka 2 mfululizo sasa, nimeipenda sana. Awali nilitumia Kaspersky na Norton ziliifanya computer slow. Rising virus havipenji kabisa ilimradi una firewall yake.
   
 13. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #13
  Jun 15, 2010
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  AVG ndio kiboko yao, unajua kwa nini?


  1. Rahisi kuinstall ikiwa na Serial number bila taabu.
  2. Ni Antivirus pekee kwangu unayoweza kui-UPDATE bila kutumia Internet moja kwa moja unachofanya ni kwenda kwenye Internet Cafe kisha unadownload updates unaweka kwenye flash yako kisha kwenye computer yako unafungua AVG unaenda Tools kisha Update from Directory. Rahisi kabisa
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu katika IT hakuna product specific unayweza kusema ni best solution. Inategemea na specific funactional requirement unazotaka, Uwezo/capacity (RAM, CPU, etc) ya mashine husika , competency ya muhusika , User Interface, etc

  Mifano Michache ni
  Macfeee, Norton ni brand zimekuwepo muda mrefu na zimejijenga jina. lakini tatizo zinaweza kuonekana ni heavyweight hasa ukiweka kwenye pc yenye capacity ndogo au au ukifanya tunning vibaya Mfano umetune antivirus ifanye scanning ya ports za internt 24 hrs a day hata muda amabao mashine yako haiko conneted na internet. Hizi ni nzuri zinahitaji right tunnning. Vile vile soma maelekezo sababu kuna Norton na MAcfee na Av nyingine wana product specif kwa enterprise watu wanafanya kosa kuweka producy hizi kwenye just single pc

  Tatizo la Norton hata kapersky inaweza kuwa User interface yake haiko friendly inaweza kuonekana haiko friendly hasa kwa mtumiaji ambayye sio advanced user.

  Kama pc yako itakuwa connected na internet mara nyingi utakuta AV fulani infaa zaidi na kama sio kila mara pc iko kenye internete itakuwa ni AV nyingine. Kingine ni mtumiaji kujua REALISTIC THREAT kubwa inaona inatoka wapi.kwenye flush disk, external drive, internet.

  Kitu kingine ambaho wataalamu wanasema ni weakness hasa ya kapersky ni kuwa na FALSE POSITIVE nyingi. Hii nimeona pia sababu ilikuwa ina detect key generator ya kama virus. So kwa mtumiaji asiye zoefu anaweza kudhani kapersky ni bora sana just becuse imdetect kitu ambacho si kweli ni virus.

  Jibu Langu ni kuwa kabla ya kujua AV gani inakufaa au ni bomba kwako identify Threat kutokana na matumizi yako. dont be general. user tofauti tunakuwa na threat tofauti na hivyo kuhitaji AV tofauti .

  Binafsi natumia Avast
   
 15. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Microsoft Security Essentials. Hakuna haja ya kuwa na zaidi ya hiyo, tangu niweke nimesahau kabisa kugangaika na AV, plus its free.
   
 16. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Avira ni kiboko ya zote!
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Kama ni Mtihani basi watakuwa waliopasi ni watu Wawili Mkuu jamadari na Mkuu Mama Brian nawapongezeni nyinyi Wakuu wawili kwa michango yenu na hao pia waliotowa Michango yao Wakuu wengine.

  Kwa kuelewa kwangu mimi Nimeshatumia Miaka ya nyuma AVG Anti-Virus ni nzuri kwa kiasi Fulani inasaidia ila ina Ubaya wake Mkubwa inafanya Computer yako au laptop yako kuenda Taratibu kama kinyonga.

  Nilivyogunduwa hivyo nikaicha kwa harraka sana. na pia nilishawahi kuitumia Kaspersky Anti-Virus miaka ya nyuma pia ina uzuri wake ila inakupa kwanza wasiwasi kuna Software nyingine za ku download kwenye Computer hiyo Kaspersky kwa wakati mwengine huwa inakwambia hizo Software unazotaka ku Download inakwambia zina Virus.

  Kwa Ufupi Kaspersky huwa inakupa kila wakati Pressure ya moyo Kwenye Computer yako kama Virus na wakati katika Computer yako haina Virus. Kuna Virus nyingine Kaspersky inashindwa kuzilinda zisiweze kuingia ndani ya Computer yako. Kwa Utafiti wangu nikaona hiyo Kasperdky haitonifaa mimi, na ndipo nikaamuwa kuitumia Avira antivir Personal tangu niitumie sasa ni Miaka zaidi ya miwili sina wasiwasi na Virus asanteni sanakwa Ushauri wenu
   
 18. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mie ndio natumia hio nahaijafanya computer yangu slow hata kidogo na naipata for free kupitia internet provider wangu.

  Kwa vile ni bure kwa sasa nitaendelea nayo mpaka huko mbeleni kama nitahitaji kununua basi niotakuja hapa kuchukua ushauri humu wa hipi ni bora.

  Asante kwa darasa

  Alafu nadhani majibu yanatokana na mtu kawahi kutumia hipi au kuna mtu kawahi kutumia zote hizo ulizo weka lol.
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Wewe hiyo Norton Anti-Virus unaitumia wapi?Nyumbani au offisini?jaribu kutoeleweshe Vizuri mimi nilipoinunuwa Computer yangu hiyo niliikuta ndani ya Computer yangu Norton Anti-Virus ndiyo iliyokuwa Anti-Virus yangu ya kwanza kuitumia nikaitumia Takriban mwaka mzima. Matokeo yake nikagunduwa inaifanya Computer yangu kuenda Taratibu nikaitowa na kuiweka AVG.

  AVG nayo nikaitumia karibu miaka 3 Matokeo yake yakawa kama hiyo Norton Anti-Virus. AVG inalinda vizuri lakini nayo inakwenda taratibu kama kinyonga AVG Nikaitowa pia. Nikaweka Kaspersky Anti-Virus nikatumia hiyo Kaspersky Anti-Virus karibu mwaka mzima ikawa inafanya vizuri na wakati Mwengine inakuwa inafanya manyago hailindi vizuri haswa Trojans.

  Nikaitowa hiyo Kasepersky Anti-Virus nikaweka NOD 32 Anti-Virus, nayo NOD 32 Anti-Virus nikaitumia karibu miaka 2 na nusu bila matatizo ila baada ya hapo ikawa inaharibu Computer yangu ikawa inaharibika hiyo NOD32 Anti-Virus kwa hili tatizo (NOD32 kernel problem). NOD32 Anti-Virus nikaitowa na kuiweka hiyo Avira Anti-Virus na mpaka hii leo huu sasa unafika mwaka 2 sina matatizo na mambo ya Virus nashukuru Avira anti-Virus inanisaidia sana kulinda Computer yangu.

  Sasa wewe unayeisifia Norton Anti-Virus je umeshaifanyia Uchunguzi? Je hiyo NortonAnti-Virus inakulinda kweli? Soma hapa kuhusu Norton 2010 is it a Memory Hog? bonyeza hapa utapata jibu it is that Norton AntiVirus hog memory - Google Search

  Kama unajuwa kiingereza utapata jibu kuhusu hiyo Anti-Virus yako Norton inavyokula Memory ndani ya Computer yako.

  Chanzo http://answers.yahoo.com/question/index?qid=20090917181458AAAuMll
   
 20. E

  Edo JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mimi kwa maoni yangu wote mko sahihi, ila mnahitaji kukubali/kuongeza dhana hii katika majadiliano yetu "kwamba virus, ni kama maradhi, yako mengi na mtu hulazimika kutumia dawa tofauti kwa maradhi mbalimbali".

  Ni kweli wataalamu wamekuja na dhana ya "broad spectrum", kwa maana kuwa dawa moja inatibu maradhi mengi-sio yote! Virus wanatoka wapya kila siku-"it is an industry on its own; hiring best brains across the world to bring new chaos every minute". Hivyo mwenye anti-virus iliyomsaidia muda fulani kwake atasema hiyo ndo nzuri, japo ipo siku atalazimika kutafuta nyingine akikumbana na vidudu vipya !

  Nakumbuka msemaji mmoja wa White house siku za nyuma aliwahi kusema-security is not a perfect science-na majadiliano haya yanalandana na usemi wa huyu ndugu
   
Loading...