The Beauty of Mathematics

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,737
405
Nimekutana na hii kitu sehemu na nikaipenda kweli, it worth sharing with you guys.

Absolutely amazing!

1 x 8 + 1 = 9
12 x 8 + 2 = 98
123 x 8 + 3 = 987
1234 x 8 + 4 = 9876
12345 x 8 + 5 = 98765
123456 x 8 + 6 = 987654
1234567 x 8 + 7 = 9876543
12345678 x 8 + 8 = 98765432
123456789 x 8 + 9 = 987654321

1 x 9 + 2 = 11
12 x 9 + 3 = 111
123 x 9 + 4 = 1111
1234 x 9 + 5 = 11111
12345 x 9 + 6 = 111111
123456 x 9 + 7 = 1111111
1234567 x 9 + 8 = 11111111
12345678 x 9 + 9 = 111111111

123456789 x 9 +10= 1111111111

9 x 9 + 7 = 88
98 x 9 + 6 = 888
987 x 9 + 5 = 8888
9876 x 9 + 4 = 88888
98765 x 9 + 3 = 888888
987654 x 9 + 2 = 8888888
9876543 x 9 + 1 = 88888888
98765432 x 9 + 0 = 888888888
Brilliant, isn't it?

And look at this symmetry:

1 x 1 = 1
11 x 11 = 121
111 x 111 = 12321
1111 x 1111 = 1234321
11111 x 11111 = 123454321
111111 x 111111 = 12345654321
1111111 x 1111111 = 1234567654321
11111111 x 11111111 = 123456787654321
111111111 x 111111111=123456789 87654321

Now, take a look at this...
101%

From a strictly mathematical viewpoint:
What Equals 100%?

What does it mean to give MORE than 100%?

Ever wonder about those people who say they are giving more than 100%?
We have all been in situations where someone wants you to

GIVE OVER 100%.

How about ACHIEVING 101%?

What equals 100% in life?
Here's a little mathematical formula that might help

answer these questions:
IF
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Is represented as:

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26.
IF

H-A-R-D-W-O- R- K

8+1+18+4+23+ 15+18+11 = 98%
AND

K-N-O-W-L-E- D-G-E

11+14+15+23+ 12+5+4+7+ 5 = 96%
BUT

A-T-T-I-T-U- D-E

1+20+20+9+20+ 21+4+5 = 100%

THEN, look how far the love of God will take you:

L-O-V-E-O-F- G-O-D

12+15+22+5+15+ 6+7+15+4 = 101%

Therefore, one can conclude with mathematical certainty that:

While Hard Work and Knowledge will get you close, and Attitude will
get you there, It's the Love of God that will put you over the top!
Have a nice day & God bless !!
 
huyu ndio adui mkubwa kwa wanafunzi wengi sana hapa tanzania.
watu hawataki kabisa hisabati
 
nimeipenda but mm hesabu kushney thats y nika chagua art,claft and music
 
Uzuri wa hisabati ni kwamba kama unaziona unaweza kutumia ku-connect the dots kwenye mambo mengine kama sanaa, muziki n.k.

Hisabati ni muhimu sana katika critical thinking ila iko tricky nikimaanisha usiitumie kwa nadharia tuu. Tumia kama tool kama vile muhandisi anavyo itumia.

Ni kweli pure mathematics ni nzuri (kwasababu ya abstraction) lakini kama ukiitumia ku apply kwenye maisha ya kawaida hapo ndipo patamu.
 
mi hesabu nazipenda lakini......haziniingii akilini?!!
dy/dx ndo nn sasa! hahahaaa!~ lakini nilikuwa nazikata kama sina akili nzuri
 
I remember nilitunga poem ya "MATHEMATICS THE SILENT KILLER"
 
If you really understand the essence of mathematics, this is as exciting as 1 + 2 =3.
At best it is a tautology, mathematics was designed to be that way, so there is no surprise at all it is that way.

I guess as long as you can wonder at the symmetry of a human face, you can equally wonder at the symmetry of math.
 
Nimekutana na hii kitu sehemu na nikaipenda kweli, it worth sharing with you guys.

IF

H-A-R-D-W-O- R- K

8+1+18+4+23+ 15+18+11 = 98%
AND

K-N-O-W-L-E- D-G-E

11+14+15+23+ 12+5+4+7+ 5 = 96%
BUT

A-T-T-I-T-U- D-E

1+20+20+9+20+ 21+4+5 = 100%

THEN, look how far the love of God will take you:

L-O-V-E-O-F- G-O-D

12+15+22+5+15+ 6+7+15+4 = 101%

Therefore, one can conclude with mathematical certainty that:

While Hard Work and Knowledge will get you close, and Attitude will
get you there, It's the Love of God that will put you over the top!
Have a nice day & God bless !!

Mkuu hapo ni kwamba umejaribu kucheza na namba ili upate jibu. Ila logically umeoanisha/umelinganisha vitu visivyolingana.

Maana yake ni kwamba hayo maneno ya awali umechukua kama neno moja linalojitegemea ila hilo la mwisho umeweka maneno matatu (3).

Hivyo basi nikikurudisha kwenye maajabu ya namba 3 ndio utaelewa kwa nini ulipata jibu hilo.
 
Umenena vizuri kabisa... Huitaji kujua kila kitu bali kanuni tuu.

dy/dx ndo nn sasa!

Mkuu hiyo ndiyo (kwa kiasi fulani) inayokupa makadirio ya hali ya hewa.
 
Mimi binafsi napenda sana hesabu, ila tatizo kubwa ni kwamba hatuna walimu wazuri wa kufundisha hili somo. Hisabati inahitaji mtu kuweza kufikiri zaidi kidogo.

Kwenye maisha ningependelea watoto wetu wajifunze Lugha na Hisabati. Kwa kuyajua haya mawili vizuri, masomo mengine yote hawatashindwa kuyaelewa.
 
mi hesabu nazipenda lakini......haziniingii akilini?!!
dy/dx ndo nn sasa! hahahaaa!~ lakini nilikuwa nazikata kama sina akili nzuri

dx/dy ni mabadiliko madogo katika kuliangalia jambo in 2D (two dimensions)

mfano unapozungumzia spidi inatokana na mabadiliko ya umbali pamoja na muda.

hivyo basi

spidi = d(umbali)/d(muda)

d(umbali) = mahali ulipofika - mahali ulipoanza
d(muda) = muda ulipofika - muda ulipoanza

mwisho wa somo la kwanza.

I love Maths!
 
Mkuu hapo ni kwamba umejaribu kucheza na namba ili upate jibu. Ila logically umeoanisha/umelinganisha vitu visivyolingana.

Maana yake ni kwamba hayo maneno ya awali umechukua kama neno moja linalojitegemea ila hilo la mwisho umeweka maneno matatu (3).

Hivyo basi nikikurudisha kwenye maajabu ya namba 3 ndio utaelewa kwa nini ulipata jibu hilo.

Nimekuelewa lakini kilichochukuliwa ni value ya kila herufi iliyohusika na siyo maneno yote matatu kwa ujumla ndiyo maana ikaleta jibu 101
 
Uzuri wa hisabati ni kwamba kama unaziona unaweza kutumia ku-connect the dots kwenye mambo mengine kama sanaa, muziki n.k.

Hisabati ni muhimu sana katika critical thinking ila iko tricky nikimaanisha usiitumie kwa nadharia tuu. Tumia kama tool kama vile muhandisi anavyo itumia.

Ni kweli pure mathematics ni nzuri (kwasababu ya abstraction) lakini kama ukiitumia ku apply kwenye maisha ya kawaida hapo ndipo patamu.

I love maths bwana, ni kamchezo katamu kweeli kweeli, njia ni kuzipenda tu mbona hazina shida?
 
hisabati tamu sana. yaani tokea vidudu mpaka fom 6 sijawahi kupata chini ya 90%. chuo tu ndipo nilipo kamatwa
 
Nimekutana na hii kitu sehemu na nikaipenda kweli, it worth sharing with you guys.

Absolutely amazing!

1 x 8 + 1 = 9
12 x 8 + 2 = 98
123 x 8 + 3 = 987
1234 x 8 + 4 = 9876
12345 x 8 + 5 = 98765
123456 x 8 + 6 = 987654
1234567 x 8 + 7 = 9876543
12345678 x 8 + 8 = 98765432
123456789 x 8 + 9 = 987654321

1 x 9 + 2 = 11
12 x 9 + 3 = 111
123 x 9 + 4 = 1111
1234 x 9 + 5 = 11111
12345 x 9 + 6 = 111111
123456 x 9 + 7 = 1111111
1234567 x 9 + 8 = 11111111
12345678 x 9 + 9 = 111111111

123456789 x 9 +10= 1111111111

9 x 9 + 7 = 88
98 x 9 + 6 = 888
987 x 9 + 5 = 8888
9876 x 9 + 4 = 88888
98765 x 9 + 3 = 888888
987654 x 9 + 2 = 8888888
9876543 x 9 + 1 = 88888888
98765432 x 9 + 0 = 888888888
Brilliant, isn't it?

And look at this symmetry:

1 x 1 = 1
11 x 11 = 121
111 x 111 = 12321
1111 x 1111 = 1234321
11111 x 11111 = 123454321
111111 x 111111 = 12345654321
1111111 x 1111111 = 1234567654321
11111111 x 11111111 = 123456787654321
111111111 x 111111111=123456789 87654321

Now, take a look at this...
101%

From a strictly mathematical viewpoint:
What Equals 100%?

What does it mean to give MORE than 100%?

Ever wonder about those people who say they are giving more than 100%?
We have all been in situations where someone wants you to

GIVE OVER 100%.

How about ACHIEVING 101%?

What equals 100% in life?
Here's a little mathematical formula that might help

answer these questions:
IF
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Is represented as:

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26.
IF

H-A-R-D-W-O- R- K

8+1+18+4+23+ 15+18+11 = 98%
AND

K-N-O-W-L-E- D-G-E

11+14+15+23+ 12+5+4+7+ 5 = 96%
BUT

A-T-T-I-T-U- D-E

1+20+20+9+20+ 21+4+5 = 100%

THEN, look how far the love of God will take you:

L-O-V-E-O-F- G-O-D

12+15+22+5+15+ 6+7+15+4 = 101%

Therefore, one can conclude with mathematical certainty that:

While Hard Work and Knowledge will get you close, and Attitude will
get you there, It's the Love of God that will put you over the top!
Have a nice day & God bless !!
Wow, its GOOd, I love it!
 
Kwa kweli mahesabu yana uchawi mwingi kuliko yote ni universal & timeless.
1+1=2 in Tz, India, China na kote duniani vile vile 1+1 =2 in 1804, 1956, 2010
and forever.
¬K
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom