The Beauty of Arusha. Geneva of Africa

Ungeingia na uswahilini tupate na picha za huko ili tupate uhalisia wa Arusha the Genever of Africa ingependeza sana.
 
Kweli kabisa,Arusha inakuwa kwa watu kujenga majengo mazuri ila sarekali imelala sana.Haiendi sambamba na maendeleo ya watu.Mji mchafu, mitaro imebomoka barabara ndio kabisaaaa. Kwa kipindi cha mwaka mzima sasa Jiji la Arusha hawajajenga hata mita tano za barabara kwa kiwango cha lami ndani ya mji.Tuko Kiarusha arusha sanaaa.
 
Kilichoifanya iwe geneva of africa ni majengo ya hotel, barabara au magari mabovu...ebu fafanua...
 
wana jf, kwa mara ya kwanza, mimi nitapingana na wengi mlliochangia thread hii,,,, arusha is the true geneva of africa, hakuna ubishi jamani, nimeishi sehemu nyingi sana katika tanzania yetu hii, daressalaam, morogoro, tanga, mwanza, mbeya, dodma pamoja na iringa,, ila hakuna mahali kama atwn ariiifuu,, kuanzia kwenye mandhari yake, hali ya hewa, business zinazofanyika (hasahasa utalii na madini), and the people of atwn wanna som common nature, thats y wakiamua kufanya kitu, kwa ushirikiano wanafanya,,,, sikatai kua kuna sehemu chafu, na sehemu ambazo si nzuri, lakini, kwa tz, nnavoona ukimaliza moshi kwa usafi, mji unaofatia ni chhugga,,, arrachugga is the place to b my pipo,,, dont deny that,,,
 
mzee ngurudoto pekee hiyo..! arusha barabara mbovu na bado pachafu...! haiwezi ikawa geneva ....never!
....Alietamka kuwa Arusha ni Geneva ya Africa ni Aliekuwa Rais Clinton wa America, ambaye si Mtanzania. sasa kama wewe Mtanzania hutaki basi ni Wivu tu na Uvivu wa Kufikiri unakusumbua.
 
Ungeingia na uswahilini tupate na picha za huko ili tupate uhalisia wa Arusha the Genever of Africa ingependeza sana.
Ni Geneva, sio Genever
Huko Uswahilini naogopa kupigwa Njuru na matejoo. Sawa Jombaa??!
 
02052010506.jpg
 
Back
Top Bottom