The battle of gaugamel :upi ni ukweli?

Mnyerede

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
210
226
Wakuu inasemekana katika hii vita, mfalme mkuu (Alexander the great) alikuwa na jeshi dogo mno, dhidi ya mfalme wa Persia Darius, inasemekana jeshi la Alexander lilikuwa linaingia takribani mara kumi kwa jeshi la Darius, lakini jeshi imara na lililofundwa vyema la Alexander lilifanikiwa kunyakua ushindi mnono dhidi ya lile la Darius, inasemekana ilikuwa ni vita ya kutafuta mshindi wa Asia nzima kwani baada ya alexander kushinda vita ya kwanza aliahidiwa vitu vingi karibia safari tatu na Darius ili asipigane naye vita lakini alikataa, je ukweli ni upi wadau?
 
Back
Top Bottom