The Bachelor's Kitchen a.k.a Jiko la msela

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,848
6,177
Heshima kwenu brothers and sisters

Msaada wa vifaa muhimu vinavyorahisisha kupika kama Rice cooker kwenye wali, pressure cooker kwenye maharage na nyama etc kama kuna vingine mnavijua vimwageni hapa na kazi zake kama vipi tukavisake maana hivi vifaa muhimu especially kwa sisi mabachelor ili tujipige pige tuwe navyo maana kula magengeni napo kunachosha...

Naomba majina ya vifaa vinavyoweza kurahisisha kufanya kazi zifuatazo

1. Kupika supu

2. Kutengeneza mboga ya haraka

3. Na vinginevyo nisivyovijua ambavyo vinarahisisha mapishi hata cha kusonga ugali kama kipo kimwageni..
 
nunua jiko la gesi la auto ignation hili husaidia sana kuandaa chakula fasta sana..
 
kupika supu si ni kuchemsha tu, unahitaji jiko na ingredients
mboga unamaanisha salad au cha kulia wali au ugali?
usisahau na microwave, zipo zinazopika mazagazaga yote mpaka huo wali unaoununulia rice cooker
 
Unahitaji friji yenye kifriza (kwa ajili ya kuweka mikate fresh). Kuna sandwich maker, hii unatumia kuchoma sandwich. Unaweza kutengeneza nyama ya kusaga ama ya kuku na kabichi kibao ukahifadhi. Then unatengeneza sandwich, its a quick meal anytime.

Microwave nayo yenye steamer na grill ni mwake mwake. Unaweka mazagazaga ukimaliza kuoga msosi tayari. Inapasha na kudefrost akiba za viporo pia.
 
King'asti ingawa mi si muanzisha thread ila nakupa bonge la THANKS...umenifunza mambo.
Btw mi sina rice cooker maana sipikag maharage aisee nkitaka kuyala naenda mgahawani tu.
 
kwa kuongezea kwa King'asti, nunua deepfrier kwa ajili ya vyakula kaa chips na kuku,nk ambavyo utatosa kwa mafuta, hakikisha sufuria ni non sticky, na vyombo ni dish washing, usiache kununua axion kwaajili a kuoshea vyombo na pot scrubber.

coffee maker inakuhusu kwaajili ya kahawa ama chai, na salad maker hii itakusaidia kutengenezea salad has kwenye chopping, pia blender kwaajili ya juice. friji nunua yenye water dspenser ili ukwepe maji ya vichupa.

kwa kuhifadhi vitu kwenye jokofu nunua plastic tins, na fridge jug kwaajili ya juice. kama ni mtu wa berbcue nunua meat berbecue, na kama ni mpenzi wa chapati nunua frying pan ya umeme. egg boiler usisahau. nimesahau nini tenaa ngoja nikumbuke nitarudi kukwambia.
 
Last edited by a moderator:

mdogo wangu kwani wapika maharage kwenye rice cooker?? maharage nunua presha cooker ni dk 10 tu ukiweza kubalance yameiva.
 
hata hii kitu ni muhimu kuwa navyo kwa vyakulaa mbavyo ni vibishi kuiva . lol
428717_10150566796663967_623097448_n.jpg
 
kwa kuongezea kwa King'asti, nunua deepfrier kwa ajili ya vyakula kaa chips na kuku,nk ambavyo utatosa kwa mafuta, hakikisha sufuria ni non sticky, na vyombo ni dish washing, usiache kununua axion kwaajili a kuoshea vyombo na pot scrubber.

coffee maker inakuhusu kwaajili ya kahawa ama chai, na salad maker hii itakusaidia kutengenezea salad has kwenye chopping, pia blender kwaajili ya juice. friji nunua yenye water dspenser ili ukwepe maji ya vichupa.

kwa kuhifadhi vitu kwenye jokofu nunua plastic tins, na fridge jug kwaajili ya juice. kama ni mtu wa berbcue nunua meat berbecue, na kama ni mpenzi wa chapati nunua frying pan ya umeme. egg boiler usisahau. nimesahau nini tenaa ngoja nikumbuke nitarudi kukwambia.

Wewe naye umefanya haraka kama unaandika huku umepanda baiskeli.............Hebu nenda polepole mdogo wako nielewe!! niachane na chukuchuku.......Tahadhari: usitoe twisheni ya mapishi yanayozidi dakika 15, nataka ya fastafasta
 
Unahitaji friji yenye kifriza (kwa ajili ya kuweka mikate fresh). Kuna sandwich maker, hii unatumia kuchoma sandwich. Unaweza kutengeneza nyama ya kusaga ama ya kuku na kabichi kibao ukahifadhi. Then unatengeneza sandwich, its a quick meal anytime.

Microwave nayo yenye steamer na grill ni mwake mwake. Unaweka mazagazaga ukimaliza kuoga msosi tayari. Inapasha na kudefrost akiba za viporo pia.

Hivi mikate inawekwa kwenye friza? ili iweje na unakula kwa siku ngapi?
Angalia mnapotufundisha JF hakikisheni mlo hauhatarishi nguvu za kanda ya kusini!
 
Mikate ukiweka kwa friza ibakuwa fresh, ukiweka kwa friji huwa inakakamaa na kukauka. So usiku unaweza toa.mkate kwenye friza ukaweka kwenye friji, asubuhi unakuwa mwake mwake.

Afu mkubwa mzima hutaki kuoa, Smile akitoka msibani umuwowe umpe ajira mwenzio kawa yatima. Mie yatima hapa nalelewa na Paw

Hivi mikate inawekwa kwenye friza? ili iweje na unakula kwa siku ngapi?
Angalia mnapotufundisha JF hakikisheni mlo hauhatarishi nguvu za kanda ya kusini!
 
Last edited by a moderator:
Hivi umetaja frying pan? Manake mayai ndo chakula ya mabachela. Ila deep frier ndo hata staki kuiona wala kuisikia. Manake unajikuta unakula junk za kufa mtu, vitambi hivyo. Bake, and very shallow pan frying inatosha.

kwa kuongezea kwa King'asti, nunua deepfrier kwa ajili ya vyakula kaa chips na kuku,nk ambavyo utatosa kwa mafuta, hakikisha sufuria ni non sticky, na vyombo ni dish washing, usiache kununua axion kwaajili a kuoshea vyombo na pot scrubber.

coffee maker inakuhusu kwaajili ya kahawa ama chai, na salad maker hii itakusaidia kutengenezea salad has kwenye chopping, pia blender kwaajili ya juice. friji nunua yenye water dspenser ili ukwepe maji ya vichupa.

kwa kuhifadhi vitu kwenye jokofu nunua plastic tins, na fridge jug kwaajili ya juice. kama ni mtu wa berbcue nunua meat berbecue, na kama ni mpenzi wa chapati nunua frying pan ya umeme. egg boiler usisahau. nimesahau nini tenaa ngoja nikumbuke nitarudi kukwambia.
 
Last edited by a moderator:
Mikate ukiweka kwa friza ibakuwa fresh, ukiweka kwa friji huwa inakakamaa na kukauka. So usiku unaweza toa.mkate kwenye friza ukaweka kwenye friji, asubuhi unakuwa mwake mwake.

Afu mkubwa mzima hutaki kuoa, Smile akitoka msibani umuwowe umpe ajira mwenzio kawa yatima. Mie yatima hapa nalelewa na Paw

Umejuaje mi mkubwa..!
Nataka kuanzisha ligi na Paw...............
 
Back
Top Bottom