MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,851
- 6,201
Heshima kwenu brothers and sisters
Msaada wa vifaa muhimu vinavyorahisisha kupika kama Rice cooker kwenye wali, pressure cooker kwenye maharage na nyama etc kama kuna vingine mnavijua vimwageni hapa na kazi zake kama vipi tukavisake maana hivi vifaa muhimu especially kwa sisi mabachelor ili tujipige pige tuwe navyo maana kula magengeni napo kunachosha...
Naomba majina ya vifaa vinavyoweza kurahisisha kufanya kazi zifuatazo
1. Kupika supu
2. Kutengeneza mboga ya haraka
3. Na vinginevyo nisivyovijua ambavyo vinarahisisha mapishi hata cha kusonga ugali kama kipo kimwageni..