The Arusha Times yatoa ushauri..........wa nguvu...................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Kwenye ukurasa wa 4 wa gazeti la the Arusha Times la leo................wametoa ushauri usinunue hii T-Shirt yenye maandishi yasemayo.........................."Pray for Obama...........Psalm 109:8"

Tatizo ni kuwa ukienda kuisoma Psalm 109:8 yanena yafutayo "Let his days be few and let another take his place."

Na lile shahiri linalofuatia hili nalo halina mema yoyote kwa Obama.................na linamtabiria mauti.......Psalms 109:9 "Let his children be fatherless and his wife a widow."

Kutokana na wabaguzi wa rangi kuziuuza hizo T-shirt na watanzania wengi kuzinunua bila ya kujua madhara yake ya kushabikia kifo cha Obama basi the Arusha Times leo limetujia na ujumbe murua wa ya kuwa tusizinunue T-Shirt hizo....................kwa sababu ambazo zipo dhahiri............
 
Tatizo la wabongo huwa wanafuata mkumbo tu bila kufanya utafiti wa jambo au kitu kilicho mbele yao!
Naamini kuna wale ambao wamekuwa wakivaa hizi T-shirt za Obama kwa ushabiki tu na hawajawahi kusoma hata hizo Aya zilizoko kwenye Zaburi ya 109:8-9.
Nakumbuka jamaa aliyeenda kwenye mitumba na akachukua shati moja lililoandikwa nyuma ya mgongo:''MORTUARY ATTENDANT".
Jamaa alivaa lile shati na akawa anadunda nalo mtaani bila kujua kuwa alikuwa amevaa sare ya Mhudumu wa chumba cha maiti! Hao ndio wabongo.
Kazi kwelikweli!
 
Sasa hayo maandishi yanahitAji utafiti gani???
 
Nakumbuka jamaa aliyeenda kwenye mitumba na akachukua shati moja lililoandikwa nyuma ya mgongo:''MORTUARY ATTENDANT".

Sasa kuna ubaya gani? Si kazi tu. Bora T-shirt iliyosheheni maandishi ya "Morgue Attendant" kuliko ile inayosema "Property of Njabu Ngabu University Athletics Dept."
 
Birthers kweli MABONZO. Yaani wanapeleka kampeni zao za kipuuzi kila sehemu duniani, bila hata ya kuzingatia hali halisi ya hao walengwa. Labda kama duwa la kuku lingekuwa linampata mwewe.

23BirtherWackos2009.jpg.jpeg
 
Sisi wabongo huwa tunanunua ili tujihifadhi na swala la maandishi ni kwa msomaji................................Thanx kwa Arusha times
 
Sisi wabongo huwa tunanunua ili tujihifadhi na swala la maandishi ni kwa msomaji................................Thanx kwa Arusha times

Good observation.......................kuna watakaofikiria ni kumuenzi Obama kumbe kuna jambo limejificha hapo....................
 
Ushauri wa bure kwa Arusha Times... Habari hiyo wameiandika kwa Kingereza na nina uhakika kuwa watu wa kawaida hawataupata ujumbe huo hivyo namshauri Editor amuuzie IDEA hiyo Shigongo aweke katika magazeti yake habari hiyo itawafikia Walengwa mara moja... Kwa hizi shule za VODAFASTA sidhani mtoto wa Form 6 aliyemaliza shule hizo anajua Psalm ni nini? Nawasilisha...
 
Tatizo la Watanzania sio wasoma vitabu. Kwa mfano kama mtu ni msoma Biblia huwezi vaa hiyo t-shirt
 
Back
Top Bottom