Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,173
Kwenye ukurasa wa 4 wa gazeti la the Arusha Times la leo................wametoa ushauri usinunue hii T-Shirt yenye maandishi yasemayo.........................."Pray for Obama...........Psalm 109:8"
Tatizo ni kuwa ukienda kuisoma Psalm 109:8 yanena yafutayo "Let his days be few and let another take his place."
Na lile shahiri linalofuatia hili nalo halina mema yoyote kwa Obama.................na linamtabiria mauti.......Psalms 109:9 "Let his children be fatherless and his wife a widow."
Kutokana na wabaguzi wa rangi kuziuuza hizo T-shirt na watanzania wengi kuzinunua bila ya kujua madhara yake ya kushabikia kifo cha Obama basi the Arusha Times leo limetujia na ujumbe murua wa ya kuwa tusizinunue T-Shirt hizo....................kwa sababu ambazo zipo dhahiri............