The arrest of Julian Assange, UK is doing US's dirty work

said Nundu JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
464
358
Julian Assange’s arrest: The UK is doing the US’s dirty work by persecuting a man who exposed war crimes

London – Wikileaks founder and international whistleblower Julian Assange must not be extradited to the United States following his arrest and forceful removal by the Metropolitan Police, upon request by the Ecuadorian Embassy, where he has been seeking refuge for the last 7 years.

The work that Assange and Wikileaks produced has reshaped the debate about the abuses of powerful states, especially the US, in the context of the War on Terror. Without such courageous work, the awareness of unspeakable crimes, let alone the small semblance of accountability that we have seen, would have never happened.

Moazzam Begg Outreach Director for CAGE said:

“This is a witch hunt against whistleblowers and those who are seeking accountability from the powerful. The UK-US extradition treaty which has always been ripe for abuse, will be used once again to silence voices of dissent.”

“Assange must not be extradited to the US. He is a truth-teller and one that has sacrificed his own liberty to shed light on the abuses of the world’s most powerful states. If no one is above the law as Sajid Javid boasted, then surely we should be supporting Assange not arresting him.”
 
cjawahi sikia nchi yoyote duniani ambako kudukua mitando ya serikali kunaitwa uhuru wa kujieleza, hata mataifa yanayomtete kudukua mitandao ni kosa la jinai kwenye nchi hizo
 
cjawahi sikia nchi yoyote duniani ambako kudukua mitando ya serikali kunaitwa uhuru wa kujieleza, hata mataifa yanayomtete kudukua mitandao ni kosa la jinai kwenye nchi hizo
Kuua watu Afghanistan na Iraq na Kufanya deals za mafuta ndiyo ulitaka visisemwe? Upo sawa kweli au hujui hata ugomvi wa America na Assange upo wapi?
 
Kuua watu Afghanistan na Iraq na Kufanya deals za mafuta ndiyo ulitaka visisemwe? Upo sawa kweli au hujui hata ugomvi wa America na Assange upo wapi?
ugomvi wa US na assange ulianza baada ya kurelease zile footage za iraq wakati marekan wamevamia kule, zile footages zilikua ni za kweli shida ni kuwa wikileaks walizipata kupitia hacking kitu ambacho ni kosa la jinai popote pale duniani, usichanganye vitu mkuu, jamaa ni kweli kaexpose mdudu lakini nyaraka aliiba kupitia udukuzi hilo ht yeye hajawahi kupinga ni ww tu ndio unaepinga
 
Kwahiyo ulitarajia Amerika awape Wiki leaks kwa hiari yake? Upo sawa lakini?
 
Kwahiyo ulitarajia Amerika awape Wiki leaks kwa hiari yake? Upo sawa lakini?
hahahaa ndio maana nakwambia tofautisha mambo, jamaa kaexpose nadudu lakin njia aliotumia (udukuzi) ndio kosa kisheria nchi yeyote ile duniani sasa sijui shida yako kuelewa iko wapi? hebunntajie nchi moja tu unayoiahamu ambayo udukuzi si kosa
 
Wewe hapo ndiyo umevurugwa kutetea wanyonyaji
 
Back
Top Bottom