The Apprentice 2009: Mona Lewis is Fired! - was Sir Alan right? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Apprentice 2009: Mona Lewis is Fired! - was Sir Alan right?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by kinetiq01, May 14, 2009.

 1. kinetiq01

  kinetiq01 Member

  #1
  May 14, 2009
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatimaye dada yetu Mona Lewis amekuwa-fired kwenye kipindi cha The Apprentice kinachorushwa na BBC ndani ya Uingereza. Billionaire Sir Alan Sugar ndiye mwendeshaji.

  Ingawa binti amejitahidi tangu mwanzo, wiki hii ya nane amejikuta akitolewa kwenye shindano la kuwania ajira katika mojawapo ya makampuni ya Sir Allan - na kukosa fursa ya kulipwa takriban £ 100,000 kwa mwaka.

  Katika assignment ya mwisho, alipinga wazo la kutumia mashoga kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha utalii. Mtizamo ni kwamba hiyo ilitosha kumwondoa, mlioona mnakubali "aliponzwa kwa kuwa na maadili mazuri"?

  Machache kumhusu Mona, japo kwa kimombo:

  Born in Karachi, former Tanzanian beauty-queen and stubborn mother-of-one Mona Lewis would love to have been the brains behind Tesco. She sees herself as shrewd and honest in business and believes that personal emotions should never interfere with decision making. Describing herself as an open-minded decision maker, Mona chose to apply for The Apprentice as a result of her desire to step out of her comfort zone and change the lives of herself and her son.

  She says: "I knew I would be selected, not to sound big-headed... I've succeeded in the companies I've worked for because I work hard and I'm honest."
   
  Last edited: May 14, 2009
 2. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 386
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Its been 8weeks now in searching for the Top Job,but unfortunately Mona was said to have been out of Ideas,not creative and therefore Sir Alan would not see Her(Mona ) fit anywhere in his Company.why and when did it all go wrong for Mona??,whats are your views on this?
   
 3. Y

  YesSir Senior Member

  #3
  May 15, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sir alan is racist! every time a person of colour is in the boardroom,they are always fired
   
 4. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  lol.. wat was she doing in a white show anyhoot?
   
 5. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I just don't buy that!

  Mbona alimpa kazi kijana mweusi ambaye alisurvive mpaka mwisho pamoja na msichana mwenye asili ya kiAsia some seasons back?
   
 6. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Ngoja nichukue pointi mbili.
  Kwanza kabisa hiyo ya 'maadili mazuri', sijui kama anayo, maana amekuwa quoted akisema she will go topless for £1mil or $1mil.

  Having said that, kutokea mwanzoni walipopewa task, yeye akasema hayuko comfy. Kutokea hapo, tuliokuwa tunaangalia tukasema kajiweka vibaya. She could have worded it better. Alikuwa 'honest' kama anavyosema ni tabia yake, hiyo haina ishu, ila hakupiga mahesabu jinsi ya kudefend point yake. Shabba ranks, probably the best ragga artist/riddim rider of all time, alishushwa soko lake mpaka leo hii sababu ya maneno makali dhidi ya nanihii.

  Ukweli ni kwamba waingereza ni very conservative. Hata poster ya kina Mona ingekamilika, wasingeshinda.

  All in all, mimi nakumbuka highlight moja tu ambayo niliipenda. Alipoweza kuuza sleeping bags dukani. That was a quick, killer sale, sealed with a firm handshake and a sexy Tanzanian smile. The shopowner couldnt say no. I compare that sale to other guys who were selling the 'dinner/lunch'? catering to offices in London. One guy went from £60 something per person to about £15 or so in a space of 2 jumps.

  Besides that high point, its true, she was riding her luck. Not upcoming with ideas. Maybe fired early, but she wasnt gonna win it. She was too Tanzanian, too nice.
   
 7. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 386
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ....say no more Mkuu, nasikia Huko uingereza hao 'jamaa wa tigo' 'wananguvu' na 'haki' vibaya sana!!Sir Alan alikuwa hana jinsi, i understand Mona showed no interest in the whole idea of targeting the 'Tigo people' she was too Homophorbic.

  **Mona now you know:"Its not only Adam& Eve, but also Adam& Steve!!!":rolleyes:
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mi nataka kuanzisha changu, kitaitwa "The Appetite" huko ni kushindana kula tu. Mshindi anapata midola kibao, nishapata sponsors wauzaji vyombo vya kupikia, kulia na vyakula.

  Mijibaba na mijimama inayoweza shughuli ya kula inakaribishwa.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  May 18, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Chakula aina gani?
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mbona mie simjui.....huu ubeuty kaupatia wapi? sio mkali basi atakuwa...
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  May 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe mashori wakali wote unawajua? Huna monopoly na mashori bana...
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  vitu vikali vinajulakanaga tu vinasikika....huyu sijui katokea wapi sio mali bana.....kitu kama kile angeris kila m2 anamjua na zinatoka fuba kichizi kwa wajinga wajinga alafu born town kiulaiiini kama tunalia vile....
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  May 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaa...wewe kweli wakuja...vitu vyote vikali si lazima vijulikane. Vingine viko low key...na si lazima vijiingize kwenye umodo....
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  na mie nazimia underground sitaki wenye makeke.....lkn kama kitu kikali kitajulikana tu...antenae zinanasa kote kote
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  May 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Basi hujui maana ya lowkey babu...sisemi kuwa hakuna kabisa atakaekijua..si kitakuwa kimepiga skuli na labda twisheni...ila kama siyo cha kujirusha na kujiachia kihivyo....hata zeutamu hakijawahi kwenda achilia mbali kuandikwa....you know......ninachozungumzia mimi ni pale kila linapotajwa jina basi hata watu wasiokijua watadai kukijua kwa vile tu wanasikia sana jina....you get what i'm sayin?
   
 16. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 17. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Mtoto wa kidigo huyu, labda yule Mzee wa Fiksi humu aliyekuwa akisaka mambo mwambao atafute contacts zake, najua aliolewa baada ya kumaliza shule na kuwa miss huko Tanga lakini it doesnt sound like bado yupo pamoja na mjuba wake manake hamuongelei kabisa, anajiongela yeye na mtoto tu.
   
Loading...