The African Young Bilioneer Scandal: From Nigeria to FBI Files;

Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,813
2,000
23 Jun Mwaka 2016 jarida maarufu ulimwenguni la Fobes lilimtaja bwana mmoja wa Kinigeria kuwa ni moja wa vijana aliyefanikiwa zaidi Duniani (Africa Young billionaire), habari hii ilistua ulimwengu wa kijasusi hasa ukizingatia inamhusu kijana kutoka Afrika ambako kwa desturi kubwa utajiri haurithiwi bali huishia kwa muasisi zaidi pale anapofariki.

Shirika la Ujasusi la Marekani FBI lilitia shaka ukwasi wa kijana huyo akijiita mjasiliamali, na katika kuonyesha hivyo kwakuwa kijana huyo alikuwa akiishi mara nyingi huko Ulaya na Marekani, likaamua kuanzisha uchunguzi.

Mmoja ya wapelelezi mashuhuri wa FBI aliyepewa kazi ya kuchunguza utajiri wa bwanamdogo huyu ni bwana Marshal Ward, kuteka kitengo maalumu (Special Agent)

Wakati FBI wakiwa katika kufuatilia nyendo za dogo huyu, Wakapokea barua kutoka kwa Export Sales Officer Catapiller and Havely Industrial Farm Equetment wa kampuni ya Unatrac Holding Limited ya Uingereza kwamba kuna email ya mtu anayetokea Marekani ambayo imetumika kuiba pesa kwa nyakati tofauti, mara ya kwanza dogo alipiga kiasi cha USD 11 milioni, mara ya pili akapiga USD 1030m, , na mara ya tatu akapiga USD 1349m

Hapo nafasi ya kwanza ya kutilia shaka magenge ya kihalifu ya mitandao hasa toka Nigeria na Urusi na Ukrain ilifungua mlango mpya kwa Marshal Ward kuanzisha uchunguzi mpya mnamoja Julay 2018.

Sehemu ya barua ya maelezo ya afisa masoko wa kampuni hiyo kwenda FBI ilisema kuwa, Mkuu wa uchumi wa kampuni hiyo (Chief Finacial Officer) alipokea barua pepe yenye kiunganishi (link) na tovuti iliyosajiriwa Microft Office365, baada ya CFO huyo kuifungua barua pepe hiyo, aliona ile link na ku-clik link ile, baada ha hapo aliona ni kama ni "fishing". FBI katika taarifa wanasema hapo ndipo IP Adress za CFO zilichukuliwa na huyu bwana mdigi wa Kinigeria kuhamisha utajiri huo wa mabilioni ya dola,

Ripoti ya uchunguzi imekamilika juzi tu 2 August 2019 ambapo affidavit imetolewa na kusainiwa na Special Agent wa FBI bwana Marshal Ward kuhusiana na kijana huyu wa Nigeria ambaye alitangazwa na Forbes kuwa ni Young milliners kumbe mpigaji bora kabisa duniani katika kizazi hiki. Baada ya uchunguzi huu tusubiri kesi rasmi. Kilichonivutia katika kesi hii ni uwezo wa Jasusi huyu kucheza na keboad ya computer kutoka Langley hadi London,

Endelea kuchangamkia Zawadi ya nakala tano kwa NUSU BEI @ 40,000/= Kitabu cha Ujasusi badala ya 80,000/=.

Lipia 40,000 kwa 0715865544 au 0755865544 kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Kwa Dar Kitabu kitaletwa ulipo Bureeee. Nje ya Dar utalipia usafiri 8,000/=

Kuwahi kwako ndio kupata zawadi hii.

Ofa inaisha kesho saa sita kamili usiku

IMG_20190817_213021_416.jpg
 

ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,591
2,000
bado sijajua uhusiano wa hiyo story na kitabu chako, kwasababu hii story ipo magazetini na kwenye mitandao.

Young promising Nigerian billionaire Obinwanne Okeke has allegedly been arrested by the US Federal Bureau of Investigation (FBI) for conspiracy to commit fraud amount to 12 million US dollars according to local media reports.
The Forbes under 30 millionaire and founder of Invictus Group is being charged with conspiracy to commit computer fraud and conspiracy to commit wire fraud according to Guardian
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom