The Abortion Debate

For or against abortion?

  • For in (almost) every situation

    Votes: 0 0.0%
  • Against in (almost) every situation

    Votes: 0 0.0%
  • Strongly depends on the situation

    Votes: 2 100.0%
  • I don't know

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2

Makedha

Senior Member
Sep 24, 2010
167
53
Ningetaka kujua msimamo wenu kuhusu utoaji wa mimba. Binafsi, ninyi ni kwa au dhidi yake? Unadhani ni bora abortion iwe legal au illegal? Kwa sababu gani? Kama ungeshika mimba ila hutaki kuwa na mtoto, ungeitoa au la? Swali sawa kwa wanaume, kama girlfriend au mke wako angekuwa mjauzito, ungemuliza aitoe mimba au la? Na kama ukitaka aitoe lakini hataki, ungefanya nini? Ungemwacha alee mtoto pekee yakee au ungelea mtoto mtarajiwa pamoja naye, ingawa hukubali na uamuzi wake wa kubaki na hiyo mimba?
 
...Kwa nini watu wote wamebaki kimya? Don't you believe it's an important issue?
 
Utoaji mimba utategemea na masuala mengi mno, lakini naamini unafaa kuruhusika.

Kuna waliobakwa ambao wasingependa kuendelea na huo ujauzito, hao wapewe ruhusa kamili ya kufanya hivyo

Kuna wale ambao ndo kwanza wamepata mtoto kwa opereshen kwa mfano, baada ya mwezi mmoja anashika mimba nyengine, hawa pia waruhusiwe kutoa wakipenda kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom