The 5 Richest Tanzanians You've Never Heard Of

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
KITAIFA

MENGI.jpg


Reginald Mengi



Posted Jumatatu,Novemba26 2012 saa 22:46 PM


KWA UFUPI


Anayeongoza katika orodha hiyo ni Bakhressa anayemiliki mali na fedha zenye thamani ya Dola za Marekani 620 milioni sawa na Sh992 bilioni (Dola moja Sh1,600) akifuatiwa na Dewji ambaye utajiri wake ni Dola 560 milioni (Sh896 bilioni). Wengine na kiasi cha mali na fedha wanazomiliki kwenye mabano ni Rostam (Sh672 bilioni- Dola 420 milioni) Mengi (Sh448bilioni- Dola 280 milioni) na Mufuruki (Sh176 bilioni - Dola 110 milioni).

WAFANYABIASHARA watano, Said Bakhressa Gulam Dewji, Rostam Aziz, Reginald Mengi na Ali Mufuruki, wametajwa na Jarida la Ventures Africa linalozungumzia masuala mbalimbali ya uchumi wa Afrika kuwa ndiyo matajiri zaidi nchini.

Anayeongoza katika orodha hiyo ni Bakhressa anayemiliki mali na fedha zenye thamani ya Dola za Marekani 620 milioni sawa na Sh992 bilioni (Dola moja Sh1,600) akifuatiwa na Dewji ambaye utajiri wake ni Dola 560 milioni (Sh896 bilioni). Wengine na kiasi cha mali na fedha wanazomiliki kwenye mabano ni Rostam (Sh672 bilioni- Dola 420 milioni) Mengi (Sh448bilioni- Dola 280 milioni) na Mufuruki (Sh176 bilioni - Dola 110 milioni).



Matajiri hao wamepatikana baada ya kuangalia nafasi zao kifedha, ufanisi wa kampuni zao katika soko la hisa, mfumo wa wanahisa katika soko la hisa na mtiririko mzima wa fedha katika akaunti zao kwenye benki mbalimbali.



Jarida hilo linalotoka mara moja kwa mwezi kutoka Afrika Magharibi, limesema matajiri hao wa Tanzania ni kati ya Waafrika wenye utajiri ambao ni mabilionea 4,800 kutoka mataifa 17.

Asilimia kubwa ya watu 1,523 ni mamilionea na wamo katika ripoti ya watu matajiri Afrika.

Jarida hilo linataja jinsi matajiri hao walivyokuwa wajasiriamali wadogo kabla ya kuibuka na kuwa mabilionea.

Said Salim Bakhresa
Jarida hilo limesema chanzo cha utajiri wa Bakhressa ni mapato yanayotokanana uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kwenye viwanda vyake.


Mfanyabiashara huyo aliacha shule akiwa na umri wa miaka 14 na kuanzisha biashara zake. Alianza kuuza urojo Zanzibar na baadaye alifungua mgahawa miaka ya 1970.


Mgahawa huo ulipanuka na alitumia faida yake kufungua mashine ya kusaga pamoja kiwanda za usindikaji vyakula, huku akiunda Kundi la Makampuni ya Bakhressa.
Aliendelea kusindika vyakula mbalimbali na kutengeneza unga wa mahindi na baadaye kuanzisha kiwanda cha kuoka mikate na baadaye kutengeneza chocolate, ice cream, vinywaji na makasha ya kufungashia bidhaa. Kutokana na shughuli hizo, kwa mwaka huingiza Sh800 milioni.

Kampuni zake kwa sasa zinafanya biashara mbalimbail katika nchi za Tanzania, Uganda, Malawi, Rwanda na Msumbiji na ameajiri zaidi ya wafanyakazi 2,000.

Gulam Dewji
Mfanyabiashara huyo ana utajiri unaokadiriwa kufikia Dola 560 milioni kutokana na kuzalisha bidhaa na kutoa huduma mbalimbali.
Ni mmoja wa mataikuni wa Tanzania tangu miaka ya 1970 na kazi yake kubwa ilikuwa kuingiza bidhaa mbalimbali kutoka nje.


Alianza na kampuni ndogo aliyoiita Mohammed Enterprises Tanzania, ambayo kwa sasa ni kati ya kampuni kubwa Afrika Mashariki na Kati.

Miongoni mwa mali zake ni Kiwanda cha 21st Century Textiles, moja ya viwanda vikubwa vya nguo Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kampuni yake ina viwanda vinne, Tanzania na Msumbiji huku ikizalisha Dola 100 milioni kwa mwaka. Pia kampuni hiyo husindika juisi kwa matunda ya Tanzania, mafuta ya kula, sabuni na tishu.


Kampuni hiyo pia inamiliki kampuni ya bima, makontena, kampuni za kuuza mafuta ya petroli na maduka ya kuuza bidhaa mbalimbali zaidi ya 100 Tanzania nzima.

Hata hivyo, Gulam alisema jana kwamba takwimu zilizotolewa zimekosewa. Alisema kwa sasa yuko nje ya Dar es Salaam na atatoa taarifa sahihi atakaporejea.

"Kuna baadhi ya tarakimu zimekosewa niko Morogoro kuangalia biashara zangu nikirudi Dar es Salaam nitazungumza," alisema Dewji.

Rostam Aziz
Ameelezwa kuwa utajiri wake umetokana na kuendesha shughuli zake mbalimbali ikiwamo kampuni za mawasiliano ya simu, madini na biashara za usafiri wa meli.
Mwanasiasa huyo mwenye asili ya Asia, alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge wa Igunga mwaka 1993 na alishinda kwa vipindi viwili.



Aliachana na ulingo wa siasa mwaka 2011. Anamiliki asilimia 19 ya Hisa za Kampuni ya Vodacom ambayo ina wateja zaidi ya milioni nane.


Ameelezwa pia kuwa anamiliki Kampuni ya Ujenzi ya Caspian na sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Kampuni ya Hutchison Whampoa ya Hong Kong.
Akizungumzia utafiti huo, alisema: "Umefanyika kwa umakini isipokuwa tu kwa upande wangu wanasemas ninamiliki asilimia 19 ya Kampuni ya Vodacom kitu ambacho si sawa kwani ninamiliki asilimia 35."

Reginald Mengi
Mengi anakimiliki kampuni mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, viwanda vinavyozalisha vinywaji baridi vya Coca-Cola na ana mgodi wa dhahabu.


Mfanyabiashara huyo baada ya kufanya kazi ya uhasibu ambayo ndiyo taaluma yake, alifanya biashara ya kutengeneza kalamu za wino zilizopata soko kubwa Afrika Mashariki.

Leo hii, IPP Group ambayo Mengi ni mwenyekiti wake, inamiliki magazeti mbalimbali ikiwemo Financial Times, ThisDay na The Guardian, televisheni mbili kubwa Afrika Mashariki na Kati EATV na ITV na vituo vya redio. Anamiliki Kampuni za IPP Gold na Handeni Gold.

Ali Mufuruki
Utajiri wake unatokana na biashara mbalimbali za rejareja na za ushirika.
Ni mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa Tanzania Infotech Investment Group.
Kampuni hiyo inajumuisha Watanzania na Waganda kwa ajili ya kuuza bidhaa za Afrika Kusini za Woolworth.



Infotech hufanya kazi ya uendelezaji makazi na ukodishaji, matangazo na shughuli za mawasiliano.

Ni mmoja wa waanzilishi wa taasisi mbalimbali ikiwemo East Africa Capital Partners, vyombo vya habari, sekta ya mawasiliano ikiwamo Venture Capital Fund Manager na nyingine katika sehemu kubwa ya Ukanda wa Afrika Mashariki.


Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mwananchi Communications Limited, Benki ya Stanbic, Mwenyekiti wa Africa Leadership Initiative East Africa Foundation.

Akizungumzia taarifa hiyo, Mufuruki aliwapongeza waliotajwa kuwa ni matajiri.
"Ningefurahi sana kama ningekuwa na utajiri huo lakini kwa upande wangu naona kwangu kuna tatizo la taarifa kwani walizotoa si sawa,"alisema Mufuruki na kuongeza;

"Sizungumzii watu wote waliotajwa, bali nazungumzia mimi mwenyewe ‘data' walizotoa si sawa kwa upande wangu."



Hata hivyo, alisema anafurahi kuona watu wanaanza kuzungumzia utajiri wa watu wengine ‘in a positive way' (kwa mrengo chanya) na si vinginevyo.



-------------------------------------------------------------------


Africa's Secret Millionaires: The 5 Richest Tanzanians You've Never Heard Of


Posted on November 23, 2012 01:35 pm under Entrepreneurs, Players
Enlarge image

VENTURES AFRICA – Here's an interesting statistic: There are over 4,800 Africans spread across 17 African countries who are individually worth $100 million or more in tangible assets.

It's a fascinating dynamic. That's 1,523 percent more African centi-millionaires than global wealth intelligence firm, Wealth-X acknowledges in its ridiculously flawed wealth report on Africa. In the report (see page 28 for more insight), Wealth-X spuriously claims there are a mere 315 centi-millionaires in Africa. Absolutely false; it's more like 4,800. And these ultra-high net worth individuals have an aggregate net worth of over $1.2 trillion.

As from next week, the Ventures Africa wealth team will uncover, identify and profile these African centi-millionaires through Africa's Secret Millionaires- an illuminating new weekly feature on Ventures Africa.

The idea behind Africa's Secret Millionaires is quite simple. We will traverse across the continent seeking out immensely successful, yet low-key tycoons and business leaders who have been largely under-reported, and then tell their stories. We will look through financial reports, track equity holdings around stock markets, identify specific shareholding structures in privately-held companies and consult with everyone from fund managers to investment bankers, realtors and financial analysts to find information that was has not been made public, and then we will place accurate values on the assets of these ultra-high net worth individuals.

We will deliver stories you've never heard of, from Senegal to South Africa, from Namibia to Nigeria and Kenya to Togo. And we won't just write shallow, pedestrian profiles like other magazines do. No. We'll break down the figures just for you, using comparators and case studies to explain the rationale for our valuations, all along the way. We will account for shares in private and public companies, income sources, residential and investment properties, art collections, jets, cash and other investible assets. It will be wealth reporting like never before.

And then we will present it at your table.


Through the stories of these wealthy ones, Ventures Africa hopes to lay credence on Africa's prosperity, its growing attractiveness, its imminent socio-economic revolution and its contemporary renaissance while celebrating African success, the entrepreneurial spirit, and the rewards of hard work.


Ahead of the launch of our Africa's Secret Millionaires feature, here's a teaser:


Meet five low-key, ultra-wealthy Tanzanian tycoons, entrepreneurs and business leaders. Each of them is worth more than $100 million at the very least, but you've probably never heard about them.


Said Salim Bakhresa

Net Worth: $620 million

Source: Manufacturing
Unarguably Tanzania's richest man, Bakhresa dropped out of school at the age of 14 to launch his own business. He started out selling potato mix and subsequently opened a small restaurant in Dar es Salaam in the 1970s. As the restaurant operation expanded, Bakhresa used his profits to found a grain milling and food production company which formed the flagship for the Bakhresa group, a multinational manufacturing conglomerate which manufactures everything from maize flour and confectionaries to chocolates, ice cream, soft drinks and paper bags. Annual sales: $800 million. The group has manufacturing operations in Tanzania, Uganda, Malawi, Rwanda and Mozambique and employs over 2,000 people.

Gulam Dewji


Net Worth: $560 million

Source: Manufacturing
Reclusive tycoon started out in the 70s importing key commodities into Tanzania. He grew the small trading operation into Mohammed Enterprises Tanzania, one of East Africa's largest conglomerates. Key assets include 21[SUP]st[/SUP] Century Textiles, one of the largest textile producers in Sub-Saharan Africa. The company's four textile mills in Tanzania and Mozambique produce 100 million running meters of fabric annually. The group also manufactures Pride, Tanzania's leading fruit beverage and everything from edible oils, toilet soaps, and artificial sweeteners to bicycles and motorcycles. The group also owns an insurance firm, container depots, a petroleum marketing company, a logistics outfit and a retail concern with over 100 outlets across Tanzania. Gulam's son, Mohammed is a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania.

Rostam Aziz


Net worth: $420 million

Source: Telecoms, Mining, Shipping
A politician and businessman of Middle East origin, Rostam Aziz is one of Tanzania's richest men. He was elected into parliament in 1993 and went on to win 2 consecutive terms as an MP. He quit politics in 2011 to focus exclusively on his businesses. Aziz's family businesses include a 19 percent stake in Vodacom Tanzania, the country's leading cellular network with over 8 million subscribers, Caspian – the country's largest contract mining company and the Dar es Salaam Port which it owns in partnership with Hong Kong conglomerate Hutchison Whampoa.

Reginald Mengi


Net worth: $280 million

Source: Media, Coca-Cola Bottling, Gold Mining
Mengi, a trained Chartered accountant is one of Africa's most revered media moguls, and one of Tanzania's wealthiest men. After practicing accounting, he ventured into private business by manufacturing and assembling ballpoint pens and selling to large retailers. Today, the IPP Group which he founded and chairs, owns 10 national newspapers (including Tanzania's Financial Times, ThisDay and The Guardian), two of East Africa's most popular Television stations (EATV and ITV), and about ten radio stations. He also owns a Coca-Cola bottling plant in Dar-es Salaam as well as two gold mining companies, IPP Gold and Handeni Gold in Tanzania.


Ali Mufuruki


Net worth: $110 million

Source: Retailing, Venture capital
Mufuruki is the founder and Executive chairman of Tanzania's Infotech Investment Group. The group holds the Tanzanian and Ugandan franchise for South African retail giant Woolsworth. Infotech also has interests in property development and leasing, hospitality, advertising and mobile telecommunications. Mufuruki is also a co-founder and partner at East Africa Capital Partners, a technology, media and telecommunications sector focused Venture Capital Fund Manager investing in the greater Eastern Africa region. Also a prominent board room guru, Mufuruki sits on the boards of the Nation media group, East Africa's largest media conglomerate and Stanbic bank Tanzania. He is also the chairman of Africa Leadership Initiative East Africa Foundation which aims to develop a new generation of values-based community spirited leaders in Africa.

Follow Ventures Africa on Twitter @VenturesAfrica

 
WAFANYABIASHARA watano, Said Bakhressa Gulam Dewji, Rostam Aziz, Reginald Mengi na Ali Mufuruki, wametajwa na Jarida la Ventures Africa linalozungumzia masuala mbalimbali ya uchumi wa Afrika kuwa ndiyo matajiri zaidi nchini.
Anayeongoza katika orodha hiyo ni Bakhressa anayemiliki mali na fedha zenye thamani ya Dola za Marekani 620 milioni sawa na Sh992 bilioni (Dola moja Sh1,600) akifuatiwa na Dewji ambaye utajiri wake ni Dola 560 milioni (Sh896 bilioni). Wengine na kiasi cha mali na fedha wanazomiliki kwenye mabano ni Rostam (Sh672 bilioni- Dola 420 milioni) Mengi (Sh448bilioni- Dola 280 milioni) na Mufuruki (Sh176 bilioni - Dola 110 milioni).
Matajiri hao wamepatikana baada ya kuangalia nafasi zao kifedha, ufanisi wa kampuni zao katika soko la hisa, mfumo wa wanahisa katika soko la hisa na mtiririko mzima wa fedha katika akaunti zao kwenye benki mbalimbali.
Jarida hilo linalotoka mara moja kwa mwezi kutoka Afrika Magharibi, limesema matajiri hao wa Tanzania ni kati ya Waafrika wenye utajiri ambao ni mabilionea 4,800 kutoka mataifa 17.
Asilimia kubwa ya watu 1,523 ni mamilionea na wamo katika ripoti ya watu matajiri Afrika.
Jarida hilo linataja jinsi matajiri hao walivyokuwa wajasiriamali wadogo kabla ya kuibuka na kuwa mabilionea.
Source : Mwananchi








 
Duh kumbe bongo mabillionea wapo??? japo ninaamini kibongo bongo hizo fedha zilizotajwa ni danganya toto wanazo zaidi ya hizo.........
 
Fisadi Subhash Patel mbona jina lake halimo?
 
huu utafiti wa hawa jamaa wanaojiita Ventures Africa ni fake cos simuoni riz1 ktk orodha yao.:biggrin1:
 
hapo kuna wengi tu hawapo kwa sababu hawawezi ku-justify income zao
1. Lowasa
2. chinga ze fomaa ze presidee
3. Sumaye
4. liz1 na baba mtu
5. makamanda wote wa kijeshi
6. kila aliewahi kuwa waziri utawala wa chinga na HB n.k.
 
Shamba la bibi walipe kodi ya nini!??,TRA wenyewe sijui wana mfumo gani wa ufuatiliaji kodi, huwa nawashangaa utakuta wamejazana kwenye foleni za magari eti wanakamata ambazo hazijalipiwa, sijui hii imekaaje yaani
 
Anayeongoza katika orodha hiyo ni Bakhressa anayemiliki mali na fedha zenye thamani ya Dola za
Marekani 620 milioni sawa na Sh992 bilioni (Dola moja Sh1,600) akifuatiwa na Dewji ambaye utajiri
wake ni Dola 560 milioni (Sh896 bilioni). Wengine na kiasi cha mali na fedha wanazomiliki kwenye
mabano ni Rostam (Sh672 bilioni- Dola 420 milioni) Mengi (Sh448bilioni- Dola 280 milioni) na
Mufuruki (Sh176 bilioni - Dola 110 milioni)
 
Back
Top Bottom