The 2019 NBA Playoffs

J.Harden na C.Paul kukosa kwenye hii list ni sawa kweli?

cc: Don Clericuzio,BAK,Mag3 and the rest

Season hii iliyoisha J Harden kacheza hero ball sana kiasi cha kujikuta chemistry inazingua. Kuna wakati alijitetea kwamba ni kwa sababu ya majeruhi. Ila hata wenzake walipo pona bado aliendeleza.

Labda na majeruhi pia.ya CP3:
 
Sahihi, halafu kuna muda mwingine kama vile alikuwa ana force hiyo hero bball.. maana utakuta timu nzima kila mchezaji anapafumu vizuri kiasi kwamba yeye haitaji kutumia nguvu nyingi sana, ila utamuona kila akishikaa mpira anataka afanye jambo litakalo leta upekee kwenye stats zake. mfano ile game waliocheza na Thunder siku ya x-mass Harden alijitesa sana wakati game walioicontrol wao mwanzo mwisho.

kukosekan kwa CP3 mara kwa mara nayo pia inaweza kuwa sababu.
Season hii iliyoisha J Harden kacheza hero ball sana kiasi cha kujikuta chemistry inazingua. Kuna wakati alijitetea kwamba ni kwa sababu ya majeruhi. Ila hata wenzake walipo pona bado aliendeleza.

Labda na majeruhi pia.ya CP3:
 
The Lakers have received permission from Golden State to talk to assistant Ron Adams about a role on their staff. Ron Adams has been the driver of Golden State's defence during their incredible run since 2014.
 
Hivi Will James Harden win Back-to-Back MVPs Basi Mwaka Huu NBA Awards itakuwa hosted by Shaquille O'Neal scheduled to be held at June 25, 03:00 AM EAT
 
2019 NBA Awards: Categories & Nominees.

*Kia NBA Most Valuable Player*
- Giannis Antetokounmpo, Milwaukee Bucks
- Paul George, Oklahoma City Thunder
- James Harden, Houston Rockets

*Kia NBA Rookie of the Year*
- Deandre Ayton, Phoenix Suns
- Luka Dončić, Dallas Mavericks
- Trae Young, Atlanta Hawks

*Kia NBA Sixth Man Award*
- Montrezl Harrell, LA Clippers
- Domantas Sabonis, Indiana Pacers
- Lou Williams, LA Clippers

*Kia NBA Defensive Player of the Year*
- Giannis Antetokounmpo, Milwaukee Bucks
- Paul George, Oklahoma City Thunder
- Rudy Gobert, Utah Jazz

*Kia NBA Most Improved Player*
- De’Aaron Fox, Sacramento Kings
- D’Angelo Russell, Brooklyn Nets
- Pascal Siakam, Toronto Raptors

*NBA Coach of the Year*
- Mike Budenholzer, Milwaukee Bucks
- Michael Malone, Denver Nuggets
- Doc Rivers, LA Clippers

NBA Cares Community Assist Award
- Jarrett Allen, Brooklyn Nets
- Bradley Beal, Washington Wizards
- Mike Conley, Memphis Grizzlies
- Tobias Harris, Philadelphia 76ers
- LeBron James, Los Angeles Lakers
- Damian Lillard, Portland Trail Blazers
- Khris Middleton, Milwaukee Bucks
- Donovan Mitchell, Utah Jazz
- Dwight Powell, Dallas Mavericks
- Pascal Siakam, Toronto Raptors

*Twyman-Stokes Teammate of the Year Award*
- Steven Adams, Oklahoma City Thunder
- Mike Conley, Memphis Grizzlies
- Jared Dudley, Brooklyn Nets
- Channing Frye, Cleveland Cavaliers
- Rudy Gay, San Antonio Spurs
- Udonis Haslem, Miami Heat
- Andre Iguodala, Golden State Warriors
- Kyle Korver, Utah Jazz
- Khris Middleton, Milwaukee Bucks
- JJ Redick, Philadelphia 76ers
- Garrett Temple, LA Clippers
- Thaddeus Young, Indiana Pacers

*NBA Sportsmanship Award*
- Steven Adams, Oklahoma City Thunder
- Harrison Barnes, Sacramento Kings
- Mike Conley, Memphis Grizzlies
- Al Horford, Boston Celtics
- Khris Middleton, Milwaukee Bucks
- Kemba Walker, Charlotte Hornets

*Lifetime Achievement Award*
- Larry Bird
- Magic Johnson
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom