Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
J.Harden na C.Paul kukosa kwenye hii list ni sawa kweli?
cc: Don Clericuzio,BAK,Mag3 and the rest
Season hii iliyoisha J Harden kacheza hero ball sana kiasi cha kujikuta chemistry inazingua. Kuna wakati alijitetea kwamba ni kwa sababu ya majeruhi. Ila hata wenzake walipo pona bado aliendeleza.
Labda na majeruhi pia.ya CP3:
Mkuu BAK naona huyo Dogo Zion Williamson watu wanamuongelea sana kuliko hata wengine... ni nini hasa kinachofanya aonglewe hivyo? naweza nikapata historia yake kwa kifupi?
Hivi Will James Harden win Back-to-Back MVPs Basi Mwaka Huu NBA Awards itakuwa hosted by Shaquille O'Neal scheduled to be held at June 25, 03:00 AM EAT
The Greek Freak stands atop the basketball world. . Giannis Antetokounmpo is your 2018-19 Kia MVP!
No. I wish James stop flopping. His style of basketball is cancerAin't it a snub to James Harden?
No. I wish James stop flopping. His style of basketball is cancer
The future is very bright with this one! Congrats Giannis!