The 2019 NBA Playoffs

All eyes on Toronto. The Larry O’Brien trophy was in town, but fans watched it slip away. The Raptors could have won it all Monday night. From all over southern Ontario and beyond, fans came to Jurassic Park to watch what they hoped would be the first NBA Championship won by a Canadian team.

That hope was dashed in the final moments of Game 5 as the Raptors lost to the Golden State Warriors 106-105. The following picture is worth a million words!

raptors-jpg.1124611


Jubilation turned to shock as the Raptors went down to the Warriors 106-105 in game 5!
Warriors bwana! Kwa kuliza watu hawajambo!​
 
Coach Nurse gave the game to Larriors! How come he called a timeout with a 6 points lead? That killed Raptors’ momentum. Larriors walikuwa tayari wamekubali.
Inasemekana Lowry ndiye aliyeita time out, sio NN.
 
Inasemekana Lowry ndiye aliyeita time out, sio NN.
Achana na huyo, toka Warriors wamlize WeBron (LeBron) kasahau kuwa W na L hazina uhusiano. Kila kitu kwake kinaanzia L...unakumbuka hii?
lebron-crying-jpg.1124654

Crying WeBron!​
 
Kazee ka kuvizia cheap free throws, kanarusha tatu wakati huo kanijgonga kwenye mikono ya watu wanaokazidi nyama hili kakikosa kapewe FT uchezaji wa kihuni sana huu.
Nyie ndio wale tunaowaita bandwagoners hahahah

Steph anafanya mbaya sana .

Eti u amuita baby faced assasin "kizee cha kuvizia free throws " heheheh acha nicheke

Kwa Sasa ngoja sisi tutulie
 
Tuli-tank kwa ajili ya Zion, NBA wakaja na utaratibu mpya.
Hivi Zion ni player yule ?

Mi naona Bora hata mlivyo kosa

Dogo anaenda kuwa another bust in da league.

Kipipa kile sidhani Kama kitaleta impact NBA
 
Hivi Zion ni player yule ?

Mi naona Bora hata mlivyo kosa

Dogo anaenda kuwa another bust in da league.

Kipipa kile sidhani Kama kitaleta impact NBA

Acha kuangalia highlights mkuu, Zion is a real deal.

Mimi nimeangalia game zake baada ya kutoka majeruhi, jamaa yuko vizuri.
 
Hahaha, nikiwa mdogo nilikuwa naweza kumponda mtu anayenizidi mfano matokeo darasani mpaka akawa intimidated.

Na akishangaa shangaa anapoteza focus. Nimejikuta siwezi kusapoti kitu wanachosapoti wengi, always against the odds.
Hahahahah ubaya ni kwamba wakati Steph atakuwa Oakland anapiga zile tatutatu ,wewe utakuwa mpiji majohe una comment hatokusikia kabisa so hatopoteza focus .

Hahahahah tuombe uzima game six itie then ushindi uamuliwe kwa game 7
 
Hahahahah ubaya ni kwamba wakati Steph atakuwa Oakland anapiga zile tatutatu ,wewe utakuwa mpiji majohe una comment hatokusikia kabisa so hatopoteza focus .

Hahahahah tuombe uzima game six itie then ushindi uamuliwe kwa game 7

Niliweka link humu ya ESPN inayomchana KD kuhusu swala la Finals MVP.

Siko peke yangu kuhusu Cirry na Finals mediocre performance.
 
Eti u amuita baby faced assasin "kizee cha kuvizia free throws " heheheh acha nicheke
Ndugu yangu, wapo watu ni kama vile wamechanganyikiwa humu! Kama kuna mchezaji hatendewi haki kwenye free throws ni Steph Curry. Hapa chini natoa list ya walioongoza kwa free throws season hii ya 2018/2019 na katika list hii Steph Curry haonekani kabisaaaa...! Of course bingwa wa kuvizia free throws kila mtazamaji wa Basketball hadi mtoto mchanga anamjua na kwenye orodha hii anaongoza kwa mbali sana...


ftleaders-jpg.1125951
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom