The 1989 wedding of Uganda senior military officer Paul kagame to Jeanette Nyiramongi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
The 1989 wedding of Uganda senior military officer Paul kagame to Jeanette Nyiramongi in Kampala. Kagame a refugee from Rwanda from his early years was educated at Ntare high school the same school as Museveni who was there earlier on.

He lived in Uganda all his life , He joined the NRA fighting alongside Museveni to topple obote and Tito okello. He was the head of the Ugandan military intelligence under Museveni

1624337250099.png

1624337274539.png
 
Ila kagame mwamba.. cv yake ni ya kibabe sana kijeshi, sio mjeshi bla bla bla nyingii..

Huyu ndie mwanaume wa vitendo.. amepigana vita vya kutosha na hajawai kushindwa japo kazaliwa kabila la wanyongeee...

Na hata ndoa yake mke mmoja miaka yote mpaka leo.. na mke nae sio mambo mengi.. maana mumewe ka spend muda mwingi vitani wakati ndoa yao changa
 
Yu said right bro.
Ila nilitaka kumwambia jamaa tutsi for tutsi not for other races. Dating a tutsi lady results to sad ending. Believe me
Hii hadithi sijui , Mjomba alioa Mtusi watoto wake bomba kabisa watusi na wameishi muda tu bahati mbaya kafariki mwaka juzi akiwa kwenye 70's hivi. Ila hiyo hadithi nilishaisikiaga
 
Watusi n malaya?
Hiyo ni hulka ya mtu kulingana na makuzi na tabia yake. Ila wanawake wa kitusi siwasemi vibaya nimefanya kazi sehemu ambapo wapo wengi maana hupenda kuishi kama jamaa moja karibu karibu. Asee niseme wengi wao sio woote wanapenda sana kupelekewa moto.
 
Back
Top Bottom