Bishoo Mdudu
New Member
- Apr 8, 2018
- 4
- 0
SuraaKwajinsi unavyoona ww hatulingani
SuraaKwajinsi unavyoona ww hatulingani
huu Uzi ni opposite na yaliyosemwaHere are the ten most beautiful East Coast female radio presenters.
life khuu Uzi ni opposite na yaliyosemwa
Where is tanasha hereHere are the ten most beautiful East Coast female radio presenters.
how about tanasha!!?Here are the ten most beautiful East Coast female radio presenters.
Hata hivo kaongelea wazuri.. sio warembo.. tofautishaduh kweli wakenya wameishiwa warembo.
Asa hawa wana uzuri gani?haiya, wacha nijaribu ku demistify hii uwongo huwa mna peddle yakuwa Kenya hamna warembo.. sijui kupost picha lakini acha nijaribu
View attachment 62696View attachment 62694View attachment 62695
Kunguru hawez kupaa na njiwa bandugu.Ukisema wa nini mwenzako anasema atampata ln!!
Kweli Kenya hamna wazuri yani hawa nao wazur!! Mtihani huuHere are the ten most beautiful East Coast female radio presenters.
Yani hawa muonekano wao kama mahouse girlHere are the ten most beautiful East Coast female radio presenters.
Angalau huyusome how this girl others actually no.
Hahhahahaah we noma sasa hao wazur unaambiwa ndo hawa unataka tena wabaya uwaone, una hamu ya kuota ndoto za kutishaNeno "Most Beautiful" ni comparative term, sasa unaweza kukuta hawa mapresenter ndio wazuri ukiwalinganisha na wengine ambao hawapo katika hizo picha....binafsi nataka niwaone hao ambao wanaburuza mkia hali zao zikoje
Labda kwa msamiati huo lakini shughuri hamna hapoUkisema wa nini mwenzako anasema atampata ln!!
Hahahah wewe bc c mkenya bali ni mchini, maana hauchagui chochote kiposawa tuKwani kitambi kina matatizo gani, kwanza kizuri sana cha kupiga mabusu. Yaani chochote kwa mwanamke ni kitamu.
Hahhahahaah we noma sasa hao wazur unaambiwa ndo hawa unataka tena wabaya uwaone, una hamu ya kuota ndoto za kutisha
Weee kiranga unataka kustaaf kwa lazima? tangu 2009 uko humu na watoto zako! umezeeka ondoka mzee! kalee wajukuu!Beauty is in the eye of the beholder, yeey
And you don't know King Kong wife, she no idiot
- Shaggy and Rayvon (Big Up)