That's tata Museven..!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
IMG_20171206_032909_827.jpg
 
Ngoja kwanza, kwenye hiyo picha ndio wanagundua au?! Maana mpiga picha amepata na alama za mshangao wa brekingi nyuzi :confused:
 
Huu utani tu kama mwingine wowote unaoendelea Uganda, sio vzr kuwaingiza viongoz wetu wa kiroho kwenye utani wetu wa mitandaoni...[HASHTAG]#Mu7MustGo[/HASHTAG].
 
Sawa tu na huku kwetu wameongeza kustaafu miaka 60 watoto wetu wanakosa kazi yenyewe imeng'ang'ania kujisiliba masizi kichwani ili waonekane vijana hovyo sana hii ndio Africa yetu
 
I bet..Museven siku zake zinahesabika yaani b4 2020 waganda watampa habari yake
 
Back
Top Bottom