Huu utani tu kama mwingine wowote unaoendelea Uganda, sio vzr kuwaingiza viongoz wetu wa kiroho kwenye utani wetu wa mitandaoni...[HASHTAG]#Mu7MustGo[/HASHTAG].
Sawa tu na huku kwetu wameongeza kustaafu miaka 60 watoto wetu wanakosa kazi yenyewe imeng'ang'ania kujisiliba masizi kichwani ili waonekane vijana hovyo sana hii ndio Africa yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.