Thanx god its friday...play safe

Kuna game wapi?

Kawaida game zinafanyika kwenye viwanja na kwa weekend hii wengine viwanja vyao ni kwenye counter za bar..so popote unapokwenda kwenye kiwanja cha mchezo unashauriwa ucheze salama ili uendele kuwa salama natuzidi kukuona kwenye baraza
 
kawaida game zinafanyika kwenye viwanja na kwa weekend hii wengine viwanja vyao ni kwenye counter za bar..so popote unapokwenda kwenye kiwanja cha mchezo unashauriwa ucheze salama ili uendele kuwa salama natuzidi kukuona kwenye baraza
hapo mpwa umeongea ukweli mno.
 
Back
Top Bottom