Thanks to Dating Apps, leo kutongoza imekua kazi rahisi sana, madomo zege mpewe nini zaidi?

Maisha yanabadilika kwa kasi sana miaka hii issue si domo zege wala muongeaji issue ni pesa tu we ongea uongeavyo kama huna pesa hupati mpenzi wala rafiki iwe domo zege uwe handsome uwe muongeaji kama huna pesa hupati kitu ukiwa na pesa uwe vyovyote utapata kila kitu mpaka chawa watajileta
 
Miaka ya nyuma kutongoza was an art, na ilikua lazima uimudu hiyo sanaa uweze kupata ama kula watoto wazuri. Ilikua ni lazima uwe mtu wa maneno na vitendo.

Miaka ya nyuma ukiwa domo zege wanawake utaishia kuwaona sokoni, madomo zege wengi waliishia kwenye punyeto maana hawakua na namna nyingine.
Sema mupewe nini na ww ni mmoja wapo. Maana unazijua hizo.app kiufupi ww ni muumini wa hizo app date

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom