Thanks Jf

Enlightened one

JF-Expert Member
Jun 20, 2019
349
250
Ahsante wanajamii kwa kuwa nami kama virtual friends
thanks 2 U today am promoted from junior member to senior member
 
Enlightened one

JF-Expert Member
Jun 20, 2019
349
250
Imani yako ya kidini ni ipi?
Namwamini Mungu BABA Mwenyezi Muumba wa mbingu na nchi
Namwamini Yesu Kristo Mwana Wake wa pekee,Bwana wetu,aliechukuliwa mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu,akazaliwa na Bikira Maria,akateswa zamani za pontio Pilato; akasulubiwa, akafa, akazwika; akashuka kuzimu.siku ya tatu akafufuka kutoka kwa wafu; akapaa mbingunk; ameketi mkono wa kuume wa Mungu;Baba Mwenyezi .kutoka huko atakuja kuwahukumu walio hai na wafu.Namwamini Roho Mtakatifu; Kanisa takatifu la kikristo,lililo moja tu ushirika wa watakatie; ondoleo la dhambi; kufufuka kwa mwili, na uzima wa milele .Amin
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
10,274
2,000

Tumsifu Yesu Kristu!
 
Diason David

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,577
1,995
Kama kweli wewe ni mfia dini niambie shetani ulishawai kumuona anafananaje yukoje anaumbile gani ana langi gani na anakaa wapi kwa mujibu wa dini yako?
 
Enlightened one

JF-Expert Member
Jun 20, 2019
349
250
Kama kweli wewe ni mfia dini niambie shetani ulishawai kumuona anafananaje yukoje anaumbile gani ana langi gani na anakaa wapi kwa mujibu wa dini yako?
Shetani yuko katika mawazo ya watu na tabia zao,kama alivyo Mungu shetani ni Roho na Roho haiwezi onekana kwa macho yetu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom