Thanks God, Its Friday.... Naweka shida pembeni, Furaha Juuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thanks God, Its Friday.... Naweka shida pembeni, Furaha Juuu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TIMING, Aug 19, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Finally,

  Ijumaa hiyooo inaishia,
  nimemiss saana good time
  nimemiss happy people
  nimemiss happy hour

  heading for a drink now
  nina hamu sana ya Red Label na mishkaki
  nikipata na barafu na coke si mbaya sana
  nina kiu ya starehe leo, kiu haswaa

  Thanks God ngoja nijongee counter nipate sip

  Leo nasahau shida za umeme, maji, mafuta, MMU, kila kitu
  nafunguka kama Luis Suarez anavyowafungua mabeki
  Natesa kama simba alivyomfyonza kandambili

  IJUMAA TAMU HII NIWAHI KUCHOMA NYAMA
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  choma kilo nyingi nakuja........Ijumaa eeeh imefika.....tara tara taraaaaraatataaa
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hahahah kweli starehe, mie naenda kupokea mbege niliyoagiza na ndizi mshare, jioni yangu ya leo itakuwa murua kweli, ndizi mchemsho na nyama tele kishushio mbege.....enjoy ur weekend luv.
   
 4. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Fridaaaaay njema tufichie vipande vya kuku mfukoni.
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba usisahau kuwa dont drink and drive japo umepaki kagari kako hapo bar
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ......for you, i will
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hiyo ndizi ntaitafuta asubuhi na supu ya kichwa aisee

  leo ni red label na mishkaki huku nikipepesa macho kucheki masaburi kiaina
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hebu njoo upate konyagi ukue, achana na wine na amarula zinakausha ngozi tu hizo na kumaliza zinc mwilini
   
 9. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mkuu itabidi nikutafute, me i will settle for JD
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna John Mtembezi hapo karibu nikaribie
   
 11. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaa unaonaeeee tatizo la kupenda vitu visivochujwa ........liko wapi hilo lichupa la konyagi tukue.

   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Lucky you! mi hata sijapata picha ya weekend... Kesho I have a presentation to make in the afternoon na ingine on monday so weekend hii ni kama imepotea tu...
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Dah!!!
   
 14. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  yeah, ts happy day (furaha day), watu tujirushe once a week tufurahie maisha, mie pia nijiandae kuwahi Savannah zangu na kitimotooo.

  Happy Furaha day MMU members
   
 15. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tukitoka kwenye Nyama tunafuata mwanga si ndio?
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  weka presentation kando, chapa raha

  saa tisa usiku ibuka fanya kazi

  ijumaa tamu sana
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,201
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  wkend hii naend kumalizia kuvuna mahindi yangu shambani na kuyasomba kuyaleta home..na baada ya hapo ntaenda kumalizia kuchimba bwawa la kufugia samaki wangu ili niwahamishie huko na mda ukiruhusu naenda kuweka fireline kwenye shamba langu la miti.....jpili naenda church na baada ya hapo napumzika na mwanangu home huku nikiedit kitabu changu...... hii ndo ratiba nzima ya wkend hii
   
 18. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  Ni Yohana Mtembezi!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  usiniambie uko arachugga

  maana kesho saa tisa KKABBBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
   
 20. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,201
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280

  mpwa twende kesho ukanisaidie kusomba mahindi kule sadani.....
   
Loading...