St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,635
- 4,519
Nawasalimia kwa heshima na taadhima wana JF wenzangu,nilipotea kidogo kwa takriban siku 3,4 kwani nilikuwa nasumbuliwa na maumivu makali ya mguu wa kulia lakini nashukuru mungu nimefanyiwa check up na sio serious sana na nimeambiwa nipumzike na nipunguze movement hasa wakati huu wa baridi kwani baridi ikiingia mwilini inaweza kuwa na madhara zaidi.Greetings to you all.