Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,401
- 31,364
Mkuu, ''nchi nyingi' ni general term. Tueleze zipi kwa mifano halisi"Zakumi, post: 30002653, member: 12016"]Actually kuna nchi za kiafrika ambazo hazikuanza kama Tanzania zimeanza kupata identities za utaifa ambazo Tanzania ilimekuwa nazo toka mkoloni.
Kwa mfano nchi nyingi zilizokuwa chini ya Mwingereza, tayari zina local english ambayo ni ya kwao pekee yao. Hata zile zinazozungumza kifaransa zina kifaransa chao. Hile advantage tuliyokuwa nayo miaka ya 60. 70 na 80 sio big deal tena.
Pili, nchi hizo zikitafuta identity kupitia London au Paris sisi tulikuwa nayo. Hivyo advantage yetu ya miaka ya 60, 70,80 nayosema si big deal huenda ni kweli, lakini haiondoi ukweli kuwa ni kazi ya Nyerere
Nimejaribu sana kukufahamisha kuwa Nyerere ana mazuri na mabaya yake kutokana na mtazamo wa mtu
Huwezi kufuta credit zake kirahisi, hata maadui zake wanajua hilio.
Nyerere alikuwa mwanadamu na hatutetegemei utimilifu 100%. Tusichoweza kufuta ni ukweli kuhusu yeye. Kwamba, ndiye aliyepokea Uhuru kutoka kwa Mwingereza. Wapo wasiokubali lakini huo ni ukweli hata kama si big deal tena kwavile nchi nyingi zimejitawala. Kwamba, allifanya tuwe tulivyo , ni ukweli hata kama mtu hataki
Nigeria kwa population, muda wa uhuru na historia ya Afrika ilipaswa kuwa ndiyo Taifa kama South Afrika. Ina utajiri wa mafuta wa muda mrefuPamoja na matatizo yao, Nigeria is largest economy in Africa. Kenya is the largest economy in our region. Cameroon vilevile wako mbali. Nchi hizo ulizotaja wametuzidi per capital. Wametuzidi ya namba ya dispora inayosaidia nchi zao. Na wametuzidi katika matrix zingine unazozijua.
Kuilinganisha na Tz kunaeleza jinsi taifa hilo lilivyo sasa hivi.
Matatizo ya ukabila , udini n.k. ni makubwa kuliko Tanzania sijui kama hilo umeliangalia
Kenya na Cameroon wana matatizo yale yale ya Ukabila na udini.
Sijui kama uchifu umeweza kusaidia lolote katika maendeleo ya mataifa hayo
Pengine tofauti kidogo ni kuwa mimi nimeishi na Kenyata na Nyerere na waliofuata. Hii EA ikifa sisimuliwi
Tanzania imepiga hatua kubwa sana kiuchumi, kijamii kwa miaka 25 iliyopita kulinganisha na Kenya wakati huo
Unazungumzia diaspora! mbiona huzungumzii kandambili za matairi, wengine tumeishi
Kuhusu diaspora, wingi wao unatokana na siasa zao za mwanzo na si uchifu. Kenya ilikuwa na open market miaka nenda rudi. Sisi tulikuwa na ujamaa uliotufunga. Guess what speed yetu sasa hivi inatupeleka at par
Diversity si makabila!!! hiyo inaitwa misnomer .Tanzania haina diversity kubwa kuliko Marekani. Makabila mengi yanazungumza the same f@cking languages. Wasukuma na wanyamwezi ni watu walewale. Mpare, mzigua, msambaa wanazungumza lugha moja. Mpogoro na mdengeleko wanasikilizana. Wakinga na wahehe ni watu walewale.
Tunapoongelea diversity tuna definition tofauti.Makabila ni sehemu tu lakini si diversity.