Thamini dhamana ya uongozi, case study - mrisho gambo

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
14,649
26,380
Jaman ndugu zangu, kama wewe una umri mdogo na umesoma kidogo unapopewa dhamana ya uongozi, itumie vizuri na usiwe mbabe na dharau kila mtu. Uongozi ni kuheshimiana na kutafuta balance ya utendaji na wenzako na si kuwa tu Mbabe bila sababu.

Kaka Mrisho alipewa ukuu wa wilaya, akiwa kijana mdogo na msomi, ila utendaji wake umekuwa wa hovyo, kashindwa bila sababu kuheshimu watendaji wake na kubaki kuwa mbabe tu bila hata sababu za msingi. Mimi ninaona tu fursa ya Gambo kukua kisiasa aliipoteza mwenyewe tu kwa kukosa busara.

Baada ya uteuzi wake kutenguliwa, kakimbilia kugombea Ubunge, agombee basi kwa nidhamu? wapi! maneno, majungu vijembe, na kumdharau mzee wa watu hadharani. Nashangaa anapewa kichwa na watu wa FB na kichwa kuwa kikubwa bila ku analyse ukweli mwenye. HII INASIKITISHA SANA:

[8/1, 17:08] Busoro Pazi: Tawi la Amana ZUNGU 162, gambo 50, kindamba 10, uchaguzi imeisha,ila wanachama wengi awakupiga kula,wameludishwa,
[8/1, 17:57] Busoro Pazi: Tawi la Gerezani Mashariki Zungu 133 Gambo 19 kindamba 6
[8/1, 17:57] Busoro Pazi: GEREZANI MAGHARIBI Zungu 80 Gambo 30 Kindamba 6

Mwisho wa siku kaangukia pua!?????

UKIPEWA DHAMANA YA UONGOZI ITUMIE VIZURI.


 
Back
Top Bottom