subiri atoke apewe RC ndio utajua,hakuna kitu unajua hapa nchini.kama ni hivyo Sabaya alipatikanaje ? nina mafaili ya wateule zaidi ya 20 , hawa walioteuliwa leo , kwani mimi nina uwezo gani kushinda mamlaka ?
unadhani atakwambia kama kapata!!!kama hujapata kwenye mkeka huu we ni taahira.
sasa tukiwaambia lissu hatoshi kuwa rais mnajamba kisa nini!!!Hana madini yyte Yule , shule kitu gani , haiba yake inatosha kumuondoa kwenye hyo kazi .....!!! Kuna sku mtu kama amber ruty atakuja kuwa DC sababu Tu kapita pita school
Jombaa chekifreshi utakuwa unawivu wa kikeUkiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .
Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za "Kisela" ukiwemo ulevi na ukosefu wa adabu na maadili , jambo ambalo linawafanya wananchi kupigwa na bumbuwazi huku wakishindwa kuendelea kukiheshimu cheo hicho , kiukweli sisi tulio mtaani ndio tunaojua nani ni nani , sasa unapoteua mtu kuwa DC kwa vile tu aliwahi kuvaa fulana ya chama hata kama uadilifu wake ni sifuri inaletea ukakasi mno
Ukiacha Protocal ya kuheshimu Mamlaka ya Uteuzi , ukweli ni kwamba Wakuu wengi wa wilaya wanaoteuliwa hawaheshimiwi na wananchi kutokana na vituko vyao kabla ya teuzi , wengi tumeishi nao na tunawafahamu kuliko hata anayewateua na wala hatudanganyiki
Utakuwa unawivu wa kike
NAKULILIA TANZANIA
Kuongelea issue ya Sabaya ktk uteuzi mpya kujipoteza tu. Yule anatuhumiwa pengne itakuwa busara tukisubir mahakama ije na maamzi juu yake.Mfano, kuhusu mhalifu sugu sabaya mbona watu walitoa maoni mara nyingi lkn mteuzi wake hakujali kamwe?
Kwenye ulevi hakuna anayemfikia Makengeza Mbowe.Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .
Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za "Kisela" ukiwemo ulevi na ukosefu wa adabu na maadili , jambo ambalo linawafanya wananchi kupigwa na bumbuwazi huku wakishindwa kuendelea kukiheshimu cheo hicho , kiukweli sisi tulio mtaani ndio tunaojua nani ni nani , sasa unapoteua mtu kuwa DC kwa vile tu aliwahi kuvaa fulana ya chama hata kama uadilifu wake ni sifuri inaletea ukakasi mno
Ukiacha Protocal ya kuheshimu Mamlaka ya Uteuzi , ukweli ni kwamba Wakuu wengi wa wilaya wanaoteuliwa hawaheshimiwi na wananchi kutokana na vituko vyao kabla ya teuzi , wengi tumeishi nao na tunawafahamu kuliko hata anayewateua na wala hatudanganyiki
NAKULILIA TANZANIA
si vizuri kumtusi kiongozi wa watu.Kwenye ulevi hakuna anayemfikia Makengeza Mbowe.
Jombaa chekifreshi utakuwa unawivu wa kike
1. Waliopita hatukuwa na walevi watukanaji kama kina 7ya,Mulo nk.
2. Ukihama chama in msaliti? Mbona waliotoka ccm kwenda upinzani niwengi hamuwaiti wasaliti?
3. Hawaheshimiki nanani?
4. Ukubwa was cheo niupi na Mani anaakisi uwo ukubwa? Swala ni uwezo wakazi au kuakisi?
5. Umeanza na remunerations zao!! Hiyo sio dalili ya wivu?
Tunawapongeza ma DC wateuliwa wooote,tunawatakia utendaji bora,yalopita si ndwele na kazi iendelee kwa kasi na viwango!! Chuki haina nafasi tujadili Sera mama kasema
Hapo Rais kachemuka sana kaboa kinyamaKwa jinsi CHADEMA wanavyo bwabwaja unaweza kufikiri wangekuwa wao, wangeteua watu wa maana sana yaani
JKN aliwahi kusema, "...tuhuma tu ingetosha kumtoa waziri wake kwenye baraza..." kwanini utuhumiwe wewe na si mwingine?
Mfano, Albert hakutuhumiwa, aliyafanya na tukaona kwenye mitandao, yeye na Giggy, chama kikamuona hatoshi kuwa mwakilishi wa wananchi bungeni, leo anaenda kubeba Taswira ya wilaya na kufanyia maamuzi wananchi zaidi ya jimbo alilokataliwa!
Si nasikia Muro ni kama wale tu?
Kuna wakati ni bora kuwapandisha hawa watendaji wa kata, tarafa, watumishi wa halmashauri, wilaya na mikoa kwenye hizo nafasi kuliko kuleta mtu kutoka kusikojulikana.
Uliwaonya kina nani? Mimi kuondoka kwa Magufuli kulikuwa afadhali kwa sababu watu wengi waliokuwa wanapoteza uhai kwa sababu ya uongozi wake watapona. Hilo tu ni jambo zuri. Sitegei mambo mengine kubadilika kwa sababu system na watawala ni wale wale.Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
Km anaweza kuleta maendeleo ya nchi sioni tatizoVideo ya Msando na giggy money hukuiona , kwani yule naye alifukuzwa Chadema ?
Lijuakali, nasari, mashinji naona wamewatachi sana...Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .