Thamani ya Shilingi ya Tanzania yaporomoka kwa Kasi

Msela anaenda kunununa vocha ya maongezi yenye thamani ya buku huko arusha Tutafikia tu
7782f-zimbabwe-cash-inflation.jpg
 
Nini kilichokufanya ufikiri hayo? Mimi ni CCM na awamu ya Rais kipenzi iliisha na ndiyo maana hunioni sana kama awamu iliyopita.

Wapenzi wa Slaa waliishia wapi?
Mdini ndiyo nini? Fafanua.

Wale waliokuwa wanamshabikia Slaa, vipi?
FaizaFoxy unahamu na dk slaa wewe hadi leo bado unamkumbuka.kweli watu wazima mkipenda mmepanda.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom