Thamani ya Sex Kushuka TZ - Nani wa Kumlaumu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thamani ya Sex Kushuka TZ - Nani wa Kumlaumu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by RaiaMbishi, Feb 11, 2012.

 1. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau,
  Tanzania ya leo ni tofauti kabisa na Tanzania ya miaka ya nyuma, hasa kwa Dar-es-salaam. Mwanamke kulala na mwanaume imekuwa ni kitu cha kawaida sana, sio kama zamani. Zamani mwanamke kulala nae sio kazi ndogo. Utaambiwa subiri nikafikirie, jibu wiki ijayoooooo! Pengine tungesema tatizo kwa sasa ni low self esteem na low self confidence kwa kina dada, lakini hata huko vyuoni nako ambako tunategemea kina dada zetu wasomi wawe tofauti, wao ndio wamepitiliza kabisa. Hao ndio wanao ongoza kwa mambo yote ya aibu mjini DSM. Makazini ndio usiseme, ni kawaida kwenda chooni na kusikia mke wa mtu anapiga mayowe ya mahaba. Kwa kweli tofauti na zamani, suala la sex halina thamani tena. Kwenye ndoa ndio kabisa, ni jambo la kawaida kwa wake za watu kulala na vidume vyao vya zamani, hata kama huko walipoolewa kuna kila juhudi za kuwaridhisha. Swali langu ni je, hali hii ya ngono ya ovyo ovyo na rahisi rahisi ni nani wa kulaumiwa zaidi kati ya wanaume na wanawake? Kwani humu kumekuwa na thread nyingi sana za kulaumu wanawake hawajatulia, mara nyingine wanaume hawajatulia, lakini huwa hakuna mjadala wa kusaidiana kupata majibu kuhusu chanzo la tatizo hili, hasa kwa kuzingatia kwamba huko nyuma hali haikuwa hivi.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  duh, haijawahi kuwa na thamani, haiwezi kuwa imeshuka au panda.

  Hivi thamani ya kum do mke au mme itashuka kweli?
   
 3. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  Hata kutumia komputa, simu za mikononi, mabenki yenye maproduct kibao, magari mengi mijini, nguo na viatu vya mtumba kibao ni tofauti kabisa na ilivyokuwa zamani, kwa nini inakua hivi?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  hivi wanawake wanafanyana wao kwa kwao?
  Mbona hao wanaofanya nao hakuna anayewananga?

  Give them a break to consume what they have.
   
 5. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu, hapo kidogo umetuchanganya. Unakubali kwamba imeshuka au imepanda?
   
 6. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  haujakutana na wale wa wao kwa wao nini. Tena ukiwa na ukaribu nao unaweza karibishwa.
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,168
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli namba moja wa kulaumiwa ni simu. Huyu kifaa anaitwa simu amekuwa channel au barabara ya kuleta huu mtindo mpya wa ngono. Ukiishaanza kuchat na mwanamke matokeo yake mtaishia kungoana tu hamna kingine.
   
 8. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kuna ukweli katika hilo, lakini miaka ya zamani kama unakumbuka palikuwa hakuna simu. mwanamke akikuaga anaenda sokoni, hauna ujanja zaidi ya kumwamini na kumsubiria mpaka arudi. Unadhani hata zamani walikuwa na makash kash yao? na kwamba hivi sasa suala la simu kumpigia kila wakati upo wapi upo wapi limepunguza kasi ya viumbe hawa katika suala husika?
   
 9. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi nadhani kuna mapinduzi ya ngono yanayoendelea miongoni mwa wanawake katika miji yetu mikuu ya Tanzania ambayo sisi wanaume hatuyajui.
   
 10. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  Nami nadhani hakuna ubaya, yaje hayo mapinduzi tuyaone.
   
 11. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,168
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Zamani haikuwa rahisi kiivyo lakini sio kipindi hiki cha simu. Kama unavyojua zamani suala la kutongoza ilikuwa kasheshe ila kipindi hiki ukichukua namba ya simu ujue tayari ushapata mzigo. Hata hivyo simu zinapunguza kiwango cha imani kwa mwenzie kwa unajikuta na wewe unaibia
   
 12. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sehemu ya mapinduzi hayo ni kwamba, tofauti na zamani, wanawake wanalala na wanaume kwa sababu karibia zile zile za wanaume kulala na wanawake. Kwa mfano, wanawake wanapenda sex kutokana na physical pleasure and physical attraction ya wanaume. Zamani tulikuwa tunaambiwa kwamba wanawake wana have sex kutokana na emotional connection, huku wanaume tukisemwa kwamba sisi hatuna emotions katika hilo. Kina dada, wellcome to the club. Mwendo ni physical kwenda mbele.
   
 13. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo unakubali kuwa zamani kulikuwa na wrong perception dhidi ya wanawake.
   
 14. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  halafu na simu hizi huwa wanatupatia kweli. mkiwa kitandani kwa mfano halafu demu mwingine akupigie simu wewe mwanaume, utababaika tu na kushtukiwa kuna tatizo kwani utakuwa katika hali ya wasiwasi, sauti itabadilika n.k. lakini wanawake, anapigiwa simu na mwanaume mwingine, sauti yake ni ile ile tena anakuwa na utulivu wa hali ya juu, na mbaya zaidi ni kwamba, kwa vile hata wao kwa wao yani wanawake kuitana bebi ni kitu cha kawaida, unaibiwa hivi hivi ukiwa nae kitandani.
   
 15. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Not necessarily perception, bali ni kama vile wanawake walikuwa wananyimwa haki zao za kutamani sex kutokana na physical attraction na kwa nia ya kupata physical pleasure. Na haki hiyo sasa imepatikana. Swali la kujiuliza ni je, nani kawapatia haki hiyo? Na msisahau kwa wale waumini wa dini ya upande mwingine, Adam aliletewa ile kitu, hakujua kama ina shughuli zaidi ya haja ndogo mpaka paaaaleeeee......; ama kweli wanawake wabunifu, wache tu watuibie.
   
 16. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hakuna jinsia inayopaswa kulaumiwa... ni tatizo la jamii nzima kuwa loose
   
 17. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ni jinsia ipi ili deserve credit ya kuwa na hali tofauti miaka ile ya nyuma yani enzi zile suala hili lilipokuwa sio tatizo kubwa katika jamii? Jinsia zote mbili?
   
 18. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  haki hiyo wamepewa na wanaume wenzio, nakushangaa unavyowaongelea wanaume.
   
 19. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ndio maana nimeuliza swali hilo nione utajibu nini. Jibu lingeweza kabisa kuwa wanawake wamejipatia haki hiyo wenyewe. Jibu lako linaashiria wewe sio supporter wa feminism.
   
 20. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280

  huwezi kudiscuss issue kwa dhana au viashiria ambavyo hujafanyia utafiti, no research no right to speak maaan. Do your homework first.
   
Loading...