appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 4,899
- 1,642
kiwango cha ally samatta mbwana kimepaa kutoka pound laki nane mpaka pound milion moja na laki sita samata anaonesha kiwango kikubwa tofaut na mpinzani wake ukiangalia safar ya samata hii ni mara ya kwanza lakin mpinzan wake yupo ulaya tangu 2007 katika timu yake ya kwanza
msimu uliopita samata alifunga mabao matano katika mech 12 mfungaj bora alishinda goli 14 katika mechi 36 ni waza samata ataonesha makubwa
msimu uliopita samata alifunga mabao matano katika mech 12 mfungaj bora alishinda goli 14 katika mechi 36 ni waza samata ataonesha makubwa