Thamani ya Samata yapaa

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,896
1,642
kiwango cha ally samatta mbwana kimepaa kutoka pound laki nane mpaka pound milion moja na laki sita samata anaonesha kiwango kikubwa tofaut na mpinzani wake ukiangalia safar ya samata hii ni mara ya kwanza lakin mpinzan wake yupo ulaya tangu 2007 katika timu yake ya kwanza

msimu uliopita samata alifunga mabao matano katika mech 12 mfungaj bora alishinda goli 14 katika mechi 36 ni waza samata ataonesha makubwa
2016-12-01_21.39.19.jpg
 
Hapo kwenye Simba FC kwanini pameandikwa unknown
*Samatta bado anahitaji juhudi zaidi kutetea nafasi yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom