Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Bingwa wa kweli nchi hii Simba peke yake wengine wote wachina au ubingwa wa Mpesa.

Chapa mtu bao 5 unabeba ndoo mbele yake unaacha watu wanazimia na wengine kufa kabisa.
Unachapa tena 3, mara 2 unalamba Milioni 100 kama haitoshi waliposema mechi za kirafiki tukageuzia sime letu kwenye ligi tukachapa tu mpaka ikalala.

Bingwa bingwa labda bingwa wa hao uliowanunua.
 
simba ndio waliochukua garasa okwi ambae amewasaidia hadi kuchukua nafasi ya tatu.kutoka nafas ya nne ya msimu uliopita.halaf suala la kusema okwi wa kimataifa unajidhalilisha,ukimataifa huo anaupata wapi wakati timu ya taifa UG haitwi?okwi ni wa ndondo cup.wakimataifa wapo tunisia huko wanapasha misuli.

Garasa wakati anawafanya mzimie kiwanjani kila mkikutana naye. Huyo Msuva wenu ameifunga lini timu kubwa kama Simba. Tarehe 8 March alionekana garasa huyo kwa jinsi alivyofichwa mfukoni kama bangi mbele ya polisi. Mkataka mumchape bakora leo unaongea nini hapa.
 
Bingwa wa kweli nchi hii Simba peke yake wengine wote wachina au ubingwa wa Mpesa.

Chapa mtu bao 5 unabeba ndoo mbele yake unaacha watu wanazimia na wengine kufa kabisa.
Unachapa tena 3, mara 2 unalamba Milioni 100 kama haitoshi waliposema mechi za kirafiki tukageuzia sime letu kwenye ligi tukachapa tu mpaka ikalala.

Bingwa bingwa labda bingwa wa hao uliowanunua.

mwezi wa kumi tena yanga kwenye pipa kwa ajili ya caf champions league.caf champions league hakuna viti maalum km musonye cup........
 
Huyo Msuva anachezea au ameshawahi kuchezea timu gani ya Taifa? Unachekesha umma kweli kweli. Ataishia kufunga kwenye mechi za kununua beki anajifanya kateleza ili Msuva afunge au kama yale ya kipa wa mbeya city mpaka sasa amefungiwa kisa yanga.

Kumbe kelele zote hizo unapenda kumuona Msuva katika uzi wa Stars....?

Basi ngoja utamuona... tu!
 
simba ndio waliochukua garasa okwi ambae amewasaidia hadi kuchukua nafasi ya tatu.kutoka nafas ya nne ya msimu uliopita.halaf suala la kusema okwi wa kimataifa unajidhalilisha,ukimataifa huo anaupata wapi wakati timu ya taifa UG haitwi?okwi ni wa ndondo cup.wakimataifa wapo tunisia huko wanapasha misuli.

waposema mchezaji wa huyu wa kimataifa ni lazima aichezee timu yake ya taifa?
 
grafani yafundishe mpira hayo ma vyura ya jangwani...na ubingwa wao wa kuhonga.!
 
Last edited by a moderator:
waposema mchezaji wa huyu wa kimataifa ni lazima aichezee timu yake ya taifa?
Kunatofauti gani kati ya mchezaji anaye wakilisha Taifa lake akiwa na national team na yule wa Club.....!

Wote wanaiwakilisha nchi...!

Kama kuiwakilisha nchi ndio kujua basi hilo Galasa yaani Sserenkuma angekuwa na hata magoli matano mpaka sasa.
 
valuation nyingine bhana! ivi ubingwa wa ligi kuu ya tz una thamani gani vile?
 
Waache wajazane ujingavwalisema ngassa miloin mia tatu na hamcn kiko wp?????? leo msuva ni kweli yuko kwenye kiwango lkn c cha bei hiyo.
 
Hata km mimi na wewe wote ni young,NI KWELI MCHEZAJI ANA THAMANI HIYO?TUNAIJUA MIL 700?AU TUNACHANGIA NA KUONGEA TU KM MSEMAJI WA YOUNG,SIMBA,MTIBWA NA YULE WA RUVU SHOOTING?
Mil 700 si nyingi vile Sema mambo ya umaskikini. Hiyo haifikii hata dollar laki nne.
 
Hivi kwa nini Msuva na kukurukakara zote, hajawahi kuifunga simba na kiwango chake yanga ikicheza na simba huwa cha chini sana????? hata assist nusu hajawahi.
 
Hahahahaaa hii kitu itawaua mikia kwa presha kiukweli.Na kwa kuwafanyia ubaya game yetu na Azam tuwaachie watufunge ili kuwanyima nafasi kabisa.

Mpaka tutakaporudi kuiwakilisha nchi kama inavyotakiwa, Nyie endeleeni kujipapatua na kushiriki kuona maeneo ya utalii Afrika. Hata tusiposhiriki kwa muda wa miaka 100, kiwango chenu hakiwezi KAMWE fikia wapi tulifika sisi, naongelea CAF na Champions league. Endeleeni kutalii.
 
Bingwa wa kweli nchi hii Simba peke yake wengine wote wachina au ubingwa wa Mpesa.

Chapa mtu bao 5 unabeba ndoo mbele yake unaacha watu wanazimia na wengine kufa kabisa.
Unachapa tena 3, mara 2 unalamba Milioni 100 kama haitoshi waliposema mechi za kirafiki tukageuzia sime letu kwenye ligi tukachapa tu mpaka ikalala.

Bingwa bingwa labda bingwa wa hao uliowanunua.

Hamna utamu wa kuchukua ndoo kama kumkung'uta mtu anayekufukuzia tano na kubeba ubingwa mbele yake na kuacha wakizimia zimia.
 
Mkuu nawe nunua kama unafikiri ni rahisi kununua kama unavyoongea,Toka Libolo wawatie cha katikati bado mpo mpo tu
 
Raha sana, wao wanajiita mabingwa wakati hata wakipita Mitaa ya Msimbazi wakitajiwa Okwi Okwi wanaufyata. Huyo msuva wao ana nini cha kunivunia mbele ya mwanaume wao.
 
Mkuu nawe nunua kama unafikiri ni rahisi kununua kama unavyoongea,Toka Libolo wawatie cha katikati bado mpo mpo tu

Halafu ID yako inanikumbusha ninapopapenda.
Toka Okwi awatie katika zile 5 bila kila mkimuona Mnyama mnalegeza macho na kuingiza kidole mdomoni. Mkiulizwa vipi inakuaje mnajibu poa tu, sisi tunapachika kitu katikati. Hahahaaaaaaaaa
Nimeoa mwanamke mbabe anapiga majirani hata kwa kukodisha majeshi lazima atawapiga tu.
 
Back
Top Bottom