Thamani ya nyumba itathminiwe vipi jamani? Kwa gumzo au kwa kutumia Quantity Surveyors?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,581
11,658
1. Thamani ya Nyumba inatathminiwe vipi jamani? Kwa GUMZO au kwa kutumia quantity surveyors?

Hivi CAG si huwa anakagua mpaka value for money na Quantity Surveyers QS wake? PCCCB nao wakichunguza pia si wana kila idara namaanisha mpaka QS wakiwemo? Inakuwaje CAG hajaona hiyo changamoto na hajaulizwa?

2. Kama wamepiga dili hapo, nani ataifunga TAKUKURU kengele?

Nimesema na nitasema tena: tuache kushambuliana kwa HISIA binafsi na kwa POLITICAL EXPEDIENCY maana hakuna atayenusurika!

Hakuna rais hapa?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom