Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
Alooo hata kama nimekuja na gadhab, haya maneno yatanifanya nisitishe suala la adhab na hasira. Nakuwa kama vile hujanikosea
 
Inadepend na nature ya akili na mawazo ya mwanamke uliye naye wengine huamini kutolewa out na kununuliwa kitu cha samahani ni ishara tosha ya kuwa ulitenda kosa si kwamba humpeni lahasha ni kwa bahati mbaya,wengine wenye uelevu wenye viwango kwa maneno tyu utamwambia nakukuelewa but don't do it frequently ina boa,wengine huamini ukiwa na nidham ya woga wa kumpoteza pindi utakapomkosea ni ishara ya upendo mkubwa kwake hivyo anakusamehe n.k n.k
 
"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
Uongo huu, siku samehi ng'o... Msamaha umekaa kinafiki huu.
 
Yaishe dear,
Zawaidi ile ya ambayo ndo udhaifu wake,
Sio mm ilikuwa ndovu tu dear,
Niliteleza baby,
Acha nayo hayo ni kawaida kwa binadamu wote my sweetheart,
Sahau bac honey,

ila kusema nisamehe sahau
Neno nisamehe kwa mwanamke kwangu marufuku!
YOU ARE NOT A MAN. HAUNA SIFA ZA KUITWA GENTLEMAN... bro.
 
Am sorry my love I didn't mean to hurt you. Am sorry, okay? Let's forget it and move on. I do love you (wakati huo ukiwa mshika mikono yake yote miwili) na kiss juu baada ya maneno hayo (kiss ya shavu sio lips). Hio ina onyesha how a gentleman you are.

Am a Man na huwa sioni tabu kusema hayo maneno kwa my lady anytime niki hisi nime mkosea.

Any real man says SORRY to his woman ___PERIOD!!

Hawa watoto wa sekondari na wanao join vyuo ndio utasikia "oooh mimi kuomba msamaha mwanamke siwezi" Ngoja nikwambie bado una akili za kitoto sana. Na utapoteza mwanamke mzuri kwa kujifanya eti "ngumu nyeusi"
 
Thats right man
 
mkuu unatafuta maneno ya kumwambia shem nn mana last week ulikuja na thread entitled "Nimeachwa"
 
acha mambo za kishamba, unanuna kwa vitu vidogo, vikubwa si utafilia mbali? jiandae jioni match....nimemaliza
 
"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
maneno yakumfanya ME rojorojo,ndembendembe,kwisha kabisa!
 
hutegemea na huyo mhusika..

mwingine ukimwambie neno "nisamehe" tu na akiona una maanisha basi anasamehe,
ila wengine lazima uombe msamaha kwa maneno na matendo! uongee insha ndefu ya kumbembeleza halafu bado umwambie maneno kama, "baby galaxy s9 zishafika bongo kesho nitaenda kukuchukulia naona iphone X yako ishaanza kuchakaa"
 
maneno yakumfanya ME rojorojo,ndembendembe,kwisha kabisa!
Hahahaaaa Mimi mpnz wangu akitaka tununiane labda nimefanya kosa. Ni asinipe nafasi ya kujitetea. Akilogwa akanipa tuu ugomvi lazima uishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom